E.F.M chukueni haya mawazo yangu

E.F.M chukueni haya mawazo yangu

Ruyama

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
367
Reaction score
563
Kwenye kipindi cha joto la asubuhi mmezidisha miziki badala ya kutujuza mambo mbalimbali, masaa ya asubuhi tunategemea kupata habari zilizojiri kama vile PB ya clouds fm.

Sasa EFM kipindi cha asubuhi kimekuwa kama vile vipindi vya mchana vya burudani, badilikeni.
 
We jamaaa una uclouds sana Sasa hiko kipindi kina ubaya gani?
Wewe **** nimesema IMO(In My Opinion)...It is indeed the worst morning show kwenye hizi national radio kwa upande wangu.
 
Slogan yao ni "Music unaongea" so lazima uwaelewe usifosi unavotaka wewe
 
Back
Top Bottom