Msaada Wimbo wa Kikosi cha Mizinga Unaitwa Kino Wakuu

MzaramoTz

JF-Expert Member
Dec 13, 2017
1,819
2,000
Heshima kwenu wakuu...!

Naombeni mnisaidie wimbo wa Kikosi cha Mizinga unaitwa Kinondoni au Kino uliimbwa na Kikosi pamoja na wasanii kadhaa wa Kino akiwemo TID kwenye Chorus Saigon, Stiba Gasto, Calvin Kimali, Kalapina na washkaji wengine.

Mwenye huo wimbo tafadhali hela ya vocha ipo hapa wakuu. Natanguliza shukran zangu za dhati kabisa kwenu wakuu.

Thanks a lot buddies.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom