Tunaofuatilia tamthilia ya Gangaa, Startimes chaneli namba 400

Holly Star

JF-Expert Member
Aug 25, 2018
4,316
8,013
Huyu mtoto leo ametekwa na watu waliotumwa na mjomba wake. Anapelekwa kuuzwa biashara ya ngono. Ila kwa upande mwingine anko inaelekea ataumbuka tena baada ya jaribio la kwanza kutaka kumuua kufeli na mtoto akamhifadhi, katika upande mwingine shemej mtu anaelekea kujua ujinga wote wa mume wa dadake huku shemeji akijitahidi kuuficha. Ila kosa la mwaka ni alipoenda kujisalimisha kwa shemeji yake. Na wakati huu akinusurika ajirekebishe la sivyo jela inamhusu.
 
Yule mtoto ana akili sio za kawaida. Anapambanana watuwazima kitotototo tu lakini anawadefeat halaf hajali km hawampendi yy anawapenda sana na kuwajali
 
Nimekutana na hili Igizo kama mara tatu baada ya Bongo Star Search. Naweza sema hili igizo ni UHAYAWANI MTUPU.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom