Nikiwa nafanya programming au nimekosa usingizi huwa napenda kusikiliza aina izi za mziki, japo ni nyimbo za makelele nasikiliza na ata zile zenye noise kabisa kama VAPORWAVE / GLITCH / 8 BIT...
I love this channel, hasa mapishi na real estate including interior design ya nyumba. Toka mwaka uanze Azam wameiondoa. Wameleta "Real Time" ambayo kusema ukweli lo! Kulikoni Azam TV?
Miaka inaenda sana jamani. Huu wimbo unarudisha kumbukumbu nyuma.
Ni burnout ya Sipho 'Hotstix' Mabuse South Africa. Ulitawala sana miaka ya themanini. Watu walikuwa na furaha sana ulipochezwa...
Wakuu haya makundi mawili yalipata kutamba sana kwa muziki wao mtamu!hapa nazungumzia Wenge ya JB Mpiana na Extra ya Rogaroga!Je,wewe mdau unalikubali kundi gani zaidi?Mimi binafsi bana Extra...
Huyu jamaa makampuni yanavyogongana kutaka awatangazie biashara zao huwa hawakosei. Nilikuwa sijawahi kulisikia hili tangazo la pepsi, huu wimbo nakiri kabisa kuwa ni hit song kwa upande wa...
Nimeangalia kipindi cha Salama na, kinachorushwa kupita EATV, Rais mtaafu Jakaya Kikwete anaonekana mtu wa furaha.
Ninahisi hayo maisha ya furaha ndio yanamfanya kimuonekano hazeeki yuko fiti...
Nimeuliza hivyo baada ya kugundua kuwa nyimbo za taifa au ukanda fulani ni lazima utazielewa tu haijalishi ni za kurapu, dini, kwaya, sherehe au zozote zile.
Au inafanywa hivyo makusudi hii ili...
Wakuu habari zenu.
Wale wapenzi wa music wa dansi naombeni mnitajie nyimbo za huyu mwamba nizipakue mtandaoni tayari kwa kuzisikiliza.
Shukurani kwa wote mtakaoonesha ushirikiano.
Heshima kwenu wakuu...!
Naombeni mnisaidie wimbo wa Kikosi cha Mizinga unaitwa Kinondoni au Kino uliimbwa na Kikosi pamoja na wasanii kadhaa wa Kino akiwemo TID kwenye Chorus Saigon, Stiba...
RIWAYA; MTUHUMIWA
MTUNZI; HUSSEIN TUWA
SEHEMU YA KWANZA.
Daily News, Julai 12 (Imetafsiriwa):
Jambazi hatari linalojishughulisha na biashara ya madawa ya kulevya huko Marekani ya Kusini...
Wadau naomba msaada wa kujua sinema (movie) za vichekesho za watoto kuanzia miaka 3, ambazo si za vibonzo (katuni). Endapo zipo nyingine nzuri za katuni unakaribishwa pia kunipa msaada. Ila...
Wakuu,
Habari ndio hio.
Hii ni filamu ambayo hutaiona labda watoto wako au wajukuu zako.
100 years:The movie you will never see; ni filamu iliyotayarishwa mwaka 2015 chini ya Director Robert...
Tuzo za Grammy za mwaka 2021 hazitafanyika tena mwezi huu huko Los Angeles Crlifornia na badala yake zitatangazwa mwezi Machi kwa sababu ya kuongezeka kwa visa vya virusi vya corona na vifo...
Baraza la Sanaa nchini Tanzania (BASATA) limemfungia kwa muda wa miezi sita (6) msanii wa Muziki wa Bongo Flava Gift Stanford Joshua maarufu kama Gigy Money, kwa kile kinachodaiwa kuwa msanii huyo...
Kifupi ni kwamba hili beat nilikuwa nalisikia tangu udogo wangu . Miaka ya tisini mwishoni jirani yetu alikuwa na kaseti iliyokuwa inapiga hili beat kwenye masherehe.
Nilijaribu kulitafuta...
Kwenye kipindi cha joto la asubuhi mmezidisha miziki badala ya kutujuza mambo mbalimbali, masaa ya asubuhi tunategemea kupata habari zilizojiri kama vile PB ya clouds fm.
Sasa EFM kipindi cha...
Kwa wale wadau wa muziki mnaofatilia ngoma mbalimbali za kibongo, africa na america embu fanya kushare nasi ngoma 10 za 2020.
Hizi zifuatazo ni top10 zangu za ngoma kali zilizofanya vizuri 2020...
Please wa JF nimekomaa toka juzi naitafuta sijaipata ila nakua hapa kuna wajanja zaidi yangu watafanya maajabu tuu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mazee niaje?
Tukiwa tunaufunga huu mwaka wa double 20, unahisi ipi ni nyimbo kali zaidi ya kuisikia ndani ya 2020?
Kwangu mimi ni;
Nakuja by Mdogo, balaa, ni nyimbo kali zaidi ya kufungia...
Aliyekupa wewe hajanisahau
Nina imani hatakama mda bado
Kukata tamaa kwangu nishasema mwiko
Bado nipo,jana na leo
mmmhh🎤🎵🎵
Tunapambana japo nasi tuwe mbali🎼
Na matatizo tumeyageuza morali🎶🎶
Iwe...