Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,027
Wakuu haya makundi mawili yalipata kutamba sana kwa muziki wao mtamu!hapa nazungumzia Wenge ya JB Mpiana na Extra ya Rogaroga!Je,wewe mdau unalikubali kundi gani zaidi?Mimi binafsi bana Extra Muzika ndo mpango mzima hasa nkisikiliza solo la Rogaroga,atalaku za Kilambongo na keybod ya Kingstal!acha kabisa