Tujuane Tunaosikiliza Mziki Wa Dark Electro/Cyberpunk/Cybergoth/Industrial/Metal/Ebm/Synthwave/Retro

Hackboy

Senior Member
May 25, 2013
127
250
Nikiwa nafanya programming au nimekosa usingizi huwa napenda kusikiliza aina izi za mziki, japo ni nyimbo za makelele nasikiliza na ata zile zenye noise kabisa kama VAPORWAVE / GLITCH / 8 BIT.

Napendelea hasa kusikiliza nyimbo za jamaa anaitwa THE ENIGMA TNG, yuko mbele ya muda. Hayuko kwenye mainstream music lakini ana million views on Youtube. Nyimbo zake ni kwa wale wanaopenda ishu za Artificial Intelligence, Futurism, Technological Singularity, Cyberpunk, Space Exploration, Digital Immortality, Mind Uploading, Hacking, Programming, Gaming, Metal, Goth.

Vipi mnazionaje aina izi za mziki?

Screenshot_20200422-201742.jpg
 
beluwa

Member
Jul 15, 2020
27
45
izo ni just a lot even for one dedicated person to take

btw Neurotech ni industrial metal and inatick various boxes at once kwa hii post yako

synthwave iko sawa pia, Perturbator (darksynth) na kadhalika
 
Hackboy

Senior Member
May 25, 2013
127
250
izo ni just a lot even for one dedicated person to take

btw Neurotech ni industrial metal and inatick various boxes at once kwa hii post yako

synthwave iko sawa pia, Perturbator (darksynth) na kadhalika
Perturbator nimefurah kupata mwanachama mwenzangu
 
Hackboy

Senior Member
May 25, 2013
127
250
izo ni just a lot even for one dedicated person to take

btw Neurotech ni industrial metal and inatick various boxes at once kwa hii post yako

synthwave iko sawa pia, Perturbator (darksynth) na kadhalika
We can be friends, check me on Instagram @herikaniugu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom