Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Dunia ya muziki wa hip hop mara nyingi hukumbwa na misukosuko ya wasanii kuwa kwenye kutokuelewana ama bifu, lakini mashabiki wengi sasa wanaamini ni muda sahihi kwa Disasta Vina kumfungulia tena...
6 Reactions
57 Replies
2K Views
Inasemekana hii ndiyo moja filamu nzuri iliyowahi kupendwa hapa duniani. Imetengenezwa mwaka 1972 na mara ya kwanza ilikuwa riwaya lilioandikwa na mwanafasihi wa Kiitalia Mario Puzo. Hii filamu...
51 Reactions
296 Replies
34K Views
Binafsi namkumbuka Tagawa kwenye filamu ya Bridge of Dragons, humu alicheza kama General Ruechang, moja uhusika katili sana, jamaa alikuwa "acheki na wowote" Kwenye hii filamu alimpa mahangaiko...
1 Reactions
6 Replies
476 Views
https://x.com/Ulimwengu01/status/2003003287298326658?s=20
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Anaitwa Bouro Mpela Geco Mwanamuziki wa muda mrefu na Kinara wa Bendi ya Quarter Latin yake Koffi Olomide. Kaka yake anaitwa Alain Mpela Afande ambaye nae alikuwa Mwanamuziki tegemeo wa Bendi ya...
3 Reactions
19 Replies
690 Views
wakuu kuna movie mpya inatamba kwasasa inaitwa sisu. Ni movie nzuri ila ina uongo wa kushato wazee. Kwanza mzee sisu anazuia risasi kwa bakuli la bati sijui, anazama ndani ya maji na kuvuta pumzi...
45 Reactions
113 Replies
13K Views
Miaka ya 1990 mpaka mwanzoni mwa mwaka 2000 tulipata kusikia nyimbo tamu sana kutoka Ughaibuni, nyimbo kama "Hold On" ya mwamba Wilson Phillips, au "It Must Have Been Love" kutoka kwa bendi ya...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Kabla sijaanza naomba niwahakikishe kwamba hii story nimepewa ruhusa na mwandishi kupost humu. Kila siku ntakua napost na nawahakikishia story itaisha kabisa. Pia hadithi kama hizi zinapatikana...
7 Reactions
500 Replies
132K Views
Kilio cha majonzi kimeibuka katika jumuiya ya wachezaji wa Call of Duty baada ya kitendo cha kipuuzi na cha kibaguzi kufanyika ndani ya mchezo wa Black Ops 2. Yaan kuna majamaa mapuuzi yaliobeba...
1 Reactions
0 Replies
205 Views
Kuanzia mwaka 2009 mpaka 2018 walituburudisha sana, vipaji vikubwa sana kutoka kwa Marcus Kibukosya, Benoît Kanema, Matthew Wakhungu pamoja na kadada karembo Karungari Mungai. Kwa wale ambao...
5 Reactions
41 Replies
1K Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Watanzania wengi wameshakata tamaa ya maisha na hii si kwa wasiyo nacho tu, bali hata kwa walionacho!. Kila mtu anatafuta pesa kwa njia anayoifahamu yeye...
47 Reactions
378 Replies
106K Views
NGWEA - ZAWADI ___________________ JEAH! MOJA KWA MOJA TOKA CHAMBER NGWEA NA EAST ZOO YOU DOJO KAYA FELOO VERSE 1 __________ UZURU WAKO WA TABIA UMBO NA SURA NDO ULIONIFANYA...
1 Reactions
3 Replies
884 Views
Kuelekea x-mass, ningependa tufahamishane ngoma kali ambazo husikilizwa sana december for christmass holiday.
1 Reactions
4 Replies
187 Views
GT Mwendo ni huo. Kama hawa sasa wanataka tusikilize nyimbo zao wafe. Hatuwezi kuwa na wasanii wasiojitambua. Ikumbukwe bila mashabiki hata hao maCCM wasingewaona. Tumewainua sisi lazima...
5 Reactions
8 Replies
262 Views
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetangaza rasmi kuahirishwa kwa hafla ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) 2025, ambayo mwanzo ilikuwa imepangwa kufanyika tarehe 13 Desemba 2025. Kupitia taarifa...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Mbilia bell akiongoza kwa hits kama Nakei na Nadina, ye Tshala mwana aki-hits kwa Massuwa na Dezo dezo. Ni kati ya wanamuziki wa kike wa Congo waliowahi kutamba miaka ya 80 mpaka 90 na mpaka...
0 Reactions
68 Replies
13K Views
Wakuu habari zenu Nawiwa kufanya sanaa ya kuigiza hapa nyumbani ( Bongo Movie). Hivyo naomba msaada kidogo kuhusu haya: a. Nataka kujua kampuni nzuri ninayoweza kuitumia kushoot movie yangu kwa...
4 Reactions
6 Replies
493 Views
"Aliyepata ziro form 4 mnamsukumia VETA, mnaamini umeme wa magari unahitaji MAZEZETA?" roma mkatoliki huyu jamaa ni fundi wa mistari... Hajawahi kuboronga..KKK
4 Reactions
157 Replies
29K Views
Muigizaji Mkongwe na Producer Cary-Hiroyuki Tagawa amefariki dunia jana Disemba 4, akiwa na miaka 75 Santa Barbara, California Marekani. Tagawa amefariki mbele ya familia yake baada ya kuugua kwa...
2 Reactions
4 Replies
471 Views
Back
Top Bottom