Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

THE JOURNALIST (TONE LA DAMU) AMANI KILONZO!!!!!... Ni jina ambalo lilikuwa alama ya ushindi, lilikuwa ni jina maarufu ambalo kila mwandishi wa habari pamoja na waandishi wote walikuwa...
3 Reactions
9 Replies
4K Views
Wana jamii wenzangu naombeni tafsiri ya ile T-shirt ya mwakinyo. Kwanini upande wa mbele na upande wa nyuma aweke picha tofauti.!?
1 Reactions
21 Replies
880 Views
Habari wana Jamiiforums, Karibuni kusikiliza EP yangu mpya niliyotengeneza Kwa AI inaitwa Street codes, Ngoma Karibu zote ni melodic rap Track 1: Hustle everyday Track 2: life is simple...
1 Reactions
0 Replies
139 Views
Nyote mnaopenda riwaya pendwa nadhani mnawajua Joram Kiango ambaye alikuwa muhusika wa mwandishi Ben R Mtobwa, huku Willy Gamba akiwa muhusika wa Elvis Musiba. Hawa walikuwa wanabaadhi ya sifa...
6 Reactions
49 Replies
794 Views
Nikiri wazi: tangu nimeacha kusikiliza muziki wa hawa wasanii chawa, moyo wangu una amani sana. Nimengundua muziki wa zilipendwa umejaa madini na hekima nyingi sana, usiochosha kusikiliza. Muziki...
1 Reactions
1 Replies
187 Views
Habari wanajamvi! Nakumbuka mwishoni mwa miaka ya 80, nilibahatika kusoma riwaya moja ikijulikana kwa jina la PETE. Nahisi ni riwaya ya kimkondo wa Kifalsafa. Ninachokumbuka kwa haraka ni kuwa...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Watu wengi wamekua wakiuskiliza huu na umewahudumia sana lakini bila kujua ukweli ya kuwa huu wimbo umetengenezwa kwa AI. Ukiangalia kuanzia mpangilio wa sauti, mguso wa hisia na namna ulivyokaa...
4 Reactions
5 Replies
514 Views
“Watu waliopiga kura milioni 31 wameshindwa hata ku-view nyimbo za wasanii wao 😂😂 Demokrasia online imegoma kufanya kazi 🤣” WE NANI ANA NAMBA ZA MAMA AMPIGIE KUNA WATU WANAVIPAJI VYA...
4 Reactions
7 Replies
239 Views
KISA CHA MSAFIRII _____________________ Mwaka 2000 katika ukumbi wa Mambo Club (baadae ukaitwa Maisha Club) uliopo pale Oysterbay jijini Dar, lilifanyika tukio kubwa la kihistoria la muziki wa...
2 Reactions
0 Replies
227 Views
Taja simulizi 3 bora ulizosoma JamiiForums 2023 Za kila aina"
4 Reactions
51 Replies
9K Views
Kwenye pitapita zangu, wadau wanadai huyo mtoto ndio DR DOOM mwenyewe 😀😀, can't wait to see this movie😀
1 Reactions
3 Replies
130 Views
Epiphyllum Dream: hii movie ina story line bora sana katika movie zote za china nlizowahi kuziona, Sjajua mtunzi na director ni nani ila walifanya kazi moja kubwa sana hapa, japo ni ya mda kidogo
1 Reactions
23 Replies
558 Views
Bongo Star Search (BSS) ni moja ya mawazo makubwa na bora sana kuwahi kuzaliwa katika tasnia ya burudani Tanzania. Tangu kuanzishwa kwake hadi sasa, BSS imekuwa zaidi ya shindano la kuimba...
0 Reactions
0 Replies
294 Views
Dunia ya muziki wa hip hop mara nyingi hukumbwa na misukosuko ya wasanii kuwa kwenye kutokuelewana ama bifu, lakini mashabiki wengi sasa wanaamini ni muda sahihi kwa Disasta Vina kumfungulia tena...
6 Reactions
57 Replies
2K Views
Inasemekana hii ndiyo moja filamu nzuri iliyowahi kupendwa hapa duniani. Imetengenezwa mwaka 1972 na mara ya kwanza ilikuwa riwaya lilioandikwa na mwanafasihi wa Kiitalia Mario Puzo. Hii filamu...
51 Reactions
296 Replies
34K Views
Binafsi namkumbuka Tagawa kwenye filamu ya Bridge of Dragons, humu alicheza kama General Ruechang, moja uhusika katili sana, jamaa alikuwa "acheki na wowote" Kwenye hii filamu alimpa mahangaiko...
1 Reactions
6 Replies
474 Views
https://x.com/Ulimwengu01/status/2003003287298326658?s=20
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Anaitwa Bouro Mpela Geco Mwanamuziki wa muda mrefu na Kinara wa Bendi ya Quarter Latin yake Koffi Olomide. Kaka yake anaitwa Alain Mpela Afande ambaye nae alikuwa Mwanamuziki tegemeo wa Bendi ya...
3 Reactions
19 Replies
690 Views
wakuu kuna movie mpya inatamba kwasasa inaitwa sisu. Ni movie nzuri ila ina uongo wa kushato wazee. Kwanza mzee sisu anazuia risasi kwa bakuli la bati sijui, anazama ndani ya maji na kuvuta pumzi...
45 Reactions
113 Replies
13K Views
Back
Top Bottom