Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Nimeona ni share hii Hadith yangu fupi ya utotoni. Nilipo kuwa mdogo, miaka karibu 4–5, nilienda na watoto wenzangu kuogelea mtoni. Tulivua nguo kama kawaida. Mimi, kwa udogo wangu, sikuwahi...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Wadau wa Games, kuanzia PC hadi consoles. Rockstar Games wamesogeza zaidi muda wa kuzindua GTA-6 kutoka May hadi Nov 2026. Pata muda wa kununua PS5 yako au upgrade PC yako mapema.
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Tukumbushane wote tutakufa. Hafu tutaonana tena afterlife. Either Peponi aubon fire. https://youtu.be/9ooC1a-oQjo?si=iiw-dEXyZwLK8nXY
0 Reactions
0 Replies
157 Views
SEASON-1 EPISODE 01 Ilikuwa ni siku ya furaha kwa kila mmoja wetu kwa kufika hatua hiyo ya kumaliza elimu ya upili baada ya kumaliza mitihani ya kidato cha sita. Kilichobaki kwa wakati huo...
12 Reactions
239 Replies
25K Views
Mitandao ya kijamii imekuwa chombo kikuu cha mawasiliano, burudani na hata ajira duniani kote. Hata hivyo, kwa Afrika hususani Tanzania, mitandao hiyo mara nyingi inageuzwa uwanja wa vituko badala...
13 Reactions
64 Replies
3K Views
Wolfgang Amadeus Mozart - 1785 ................
0 Reactions
7 Replies
442 Views
THIS SONG TRANSLATED lingala: Aee nakomitunaka english: Aee I ask myself li: Nzambe nakomitunaka en: God I ask myself li: Poso mwindo ewutande wapi ? en: Where did black skin come from? li: koko...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Dear Nyerere, Remember the country you fought for its independence without any blood shed Now the blood is heavily flowing within the streets Its funny because the colonialists left without need...
0 Reactions
0 Replies
143 Views
Kama kichwa cha Uzi hapo juu na wale waliowahi kupitia Uzi wa kula Tunda Kimasihara wa rikiboy watakuwa wanaelewa ninachomaanisha. Hizi ni movie ambazo Maudhui yake yamehusisha washiriki wake...
21 Reactions
52 Replies
12K Views
MTUNZI: ERICK NZIKU SEHEMU YA KWANZA BINTI WA RAISI Naitwa James david Massawe ni mzaliwa wa Same, Kilimanjaro, naishi na wazazi wangu wote wawili na nna wadogo wawili john na jenny. Maisha...
3 Reactions
20 Replies
27K Views
Annex 3 LOST BOB MARLEY ALBUMS 1972-1980 Although it is an interesting field of study, how Bob Marley developed the songs while recording a couple of different demos with alternate vocals, there...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Simulizi; MLANGO WA 77 "DOOR 77" Mtunzi; Robert Heriel Taikon Publishers 0693322300 EPISODE 01. Mvumo wa sauti za chura uliendelea kuvuma kama kwaya ya Akapella huku masalia ya matone ya mvua...
6 Reactions
39 Replies
33K Views
Wakuu leo tuchambue kidogo ubunifu uliofanywa kwenye huu wimbo wa NANI uliochapishwa na Diamond dakika 30 zilizopita kwenye channel yake ya You Tube. Tukianzia story telling aliyoitumia hadi...
6 Reactions
42 Replies
2K Views
Ni movie inahusiana na jamaa ambaye ni mstaafu wa jeshi anajikuta anamsaidia bidada mrembo ambaye alikuwa kwenye Hali mmbaya ambaye hamfahamu. Bidada huyo hana kumbukumbu kwa kile kilichomtokea...
3 Reactions
15 Replies
710 Views
Simulizi : C.O.D.EX. 1 Mwandishi : TARIQ HAJI Imeletwa kwenu na: BURE SERIES C.O.D.EX. 1 ................... SEHEMU YA 1 Allen James ni jina langu, ni dereva wa taxi katika jiji moja maarufu...
10 Reactions
203 Replies
48K Views
Kwa upande wangu... 1. Good Kid Maad City - Kendrick Lamar 2. The Verteller - Dizasta Vina 3. Damn - Kendrick Lamar 4. Doo-Whoop & Hooligans - Bruno Mars 5. Bad - Michael Jackson
7 Reactions
41 Replies
2K Views
Oyaaaaa wanaanguuuu oyaaaaaa! Wahuni weweeeeee!!!🎶 🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
14 Reactions
122 Replies
3K Views
Mtoto wa Kanye West na Kim Kardashian aitwaye North amesema kama akiulizwa aishi na nani basi ni bora aishi na baba yake kuliko mama yake, tena atachagua hivyo hata akiulizwa mara elfu moja...
4 Reactions
6 Replies
512 Views
STORY: IDAIWE MAITI YANGU MWANDISHI: FEBIANI BABUYA STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER WHATSAPP: 0621567672 EMAIL: thomasibabuya@gmail.com AGE: 18+ ******************** SEHEMU YA KWANZA ANZA...
11 Reactions
504 Replies
111K Views
Wakuu naombeni mnisaidie application yoyote ile ambayo naweza kudownload movies maana kuna movie au tamthliya naitafuta inaitwa orphan of a nation so nataka niidownload aisee
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Back
Top Bottom