Wimbo wa Bi Kidude Yalaiti original huu hapa

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,113
27,099
1. Bi Kidude ( Malkia wa Muziki wa Afrika Mashariki na Kati ) : Huyu ndio mtunzi na muimbaji wa kwanza wa wimbo Yalaiti . Msikilize hapa chini :

2. BI. Malika kutoka Mombasa Kenya : Mwanamama huyu Mkenya mwenye asili ya Somalia alikuwa mtu wa pili kuurudia wimbo wa Yalaiti.. Aliutendea haki. Sauti inabembeleza hiyo..usiposimama basi mguu wako utakuwa una kasoro.

3. Mwana FA feat Linah : MwanaFA akawa mtu wa wa tatu kuurudia wimbo huu. Ameutendea haki sana..
 
Jitayarishe na kivunja kwa Yalaiti ya Asley na nandy, manake Bosi Luge kawaamuliaa na kuwapa njia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom