Bruno Mars vs The Weeknd

Xavi Hernandez Alcantara

JF-Expert Member
Oct 19, 2019
278
500
Mmoja anaitwa Bruno Mars, moja kati ya wataalamu wa muziki wa R&B na Pop. Ana uwezo mkubwa wa kuimba na kuandika mashairi na ngoma zilizoshiba kama The Lazy Song, Marry You, Just the Way You Are, 24 Magic, Finesse, Grenade,Versace on the Floor, Talking to the Moon.

Ukiachana na Bruno Mars, kuna jamaa kutoka Canada anaitwa The Weeknd, wanasema ana sauti kama ya Mfalme wa Pop, Michael Jackson. Ngoma zake kama Call Out My Name, I Feel It Coming, The Hills, Pray for Me, False Alarm, Can't Feel My Face, Reminder, Secrets, Earned It, Starboy na nyingine nyingi tu.

Hivi unafikiri kati ya Bruno Mars na The Weeknd ni yupi zaidi katika R&B?
 
Damaso

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
1,240
2,000
Zamani Nilikuwa ni die fan wa Bruno Mars hasa kwenye Ngoma kama Grenade, Lazy Song pamoja na Just the way you're.. Lakini baadaye mahaba yakahamia kwa The Weekend yaani Ile ngoma ya I feel it coming ndo Nilikuwa nasikiliza muda mwingi then Star boy ikanitoa kabsa kwenye Kambi ya Bruno Mars.
 
Xavi Hernandez Alcantara

JF-Expert Member
Oct 19, 2019
278
500
Zamani Nilikuwa ni die fan wa Bruno Mars hasa kwenye Ngoma kama Grenade, Lazy Song pamoja na Just the way you're.. Lakini baadaye mahaba yakahamia kwa The Weekend yaani Ile ngoma ya I feel it coming ndo Nilikuwa nasikiliza muda mwingi then Star boy ikanitoa kabsa kwenye Kambi ya Bruno Mars.
Hahahaha
 
miminimkulimaakachekasana

JF-Expert Member
May 29, 2017
3,274
2,000
mkuu umesikiliza "earned it",by the way mm namuelewa the WEEKND
giphy.gif
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom