RIP Oliver Ngoma and thank you for good memories

King of Zouk Oliver N'goma passes on




By Robert Kalumba



Posted Wednesday, June 9 2010 at 00:00

Kampala


Renowned Gabonese Zouk artiste Oliver N'goma has died. Ngoma died on Monday in the wee hours of the morning at Omar Bongo Hospital in Libreville, Gabon. He suffered kidney failure, an ailment he had battled for the last two years.
Nicknamed Noli, N'goma was born in 1959 in a musical family.


His father was a renowned harmonica player. This music affiliation rubbed onto the young N'goma rather profoundly forcing the artiste to abandon the photography training he was undergoing in France in 1988 and pursue music full time.

It is this that gave birth to the album Bane. To many Ugandans, Bane was and still is their Zouk anthem. It is the song that propelled N'goma from a music upstart, to superstar. The album became one of the best sellers to this day in African music history.


Oliver shines
From there on N'goma's light shone on with the artiste releasing more classics like Adia, Julia and Icole among others. His music was catchy and when his songs were played, it was hard for one to remain seated. His music was categorised as Afro-Zouk, a sound that dominated the music scene in the 90's and N'goma was one of its most renowned promoters. He last came to Uganda in 2003 which was his third visit to the country. His last performance was in Libreville last Saturday where he was celebrating a book that had been written about his musical journey.
 
duh..R.I.P bro.

SIJUI UTABIRI WA JUNIUS UTASEMAJE NA VIFO VYA WASANII...
 
Haya...
Mnyaazi Mungu mwenye rehma na amrehemu na kumpa pumziko.
Ila amuhukumu kutokana na Dhambi alizotenda, kwani kwa kutokufanya hivyo basi itakuwa ni kama kumwogopa shetani ambaye ndie alikuwa akimpa vishawishi kiumbe huyu alipokuwa na uhai wake.
 
Dah R.I.P

Juzi tu nimesikia ule wimbo wake ambao ulikuwa ni anthem ya miaka ile sijui unaitwaje ila kila nikisikia unanipa memories za long time.
 
Lusa mwanamamaa lalala lalee...dah...dah..dah...adios amigo!tutakutana tukija huko tuendeleze afro zouk kumtukuza Mola!dah!dah!mkuki moyoni!
 
>Umechanganya dawa wewe!
Anayeongelewa hapa sio yule Mzimbabwe Mutukudzi, ni M-Gabon Oliver N'goma

Afadhali mkuu,

Mi mwenyewe,nilishaanza kufikiri kwamba ni Mutukudzi,lakini nikawa napata wasiwasi,kwa sababu alipiga nyimbo na Jide mwaka 2011 kama sikosei..........
 
ha haaa, kumbe tupo wengi....
Mwali umeona huu uzi ni wa lini?
eti pamoja na kuwa mpenzi sana wa nyimbo zake lakini sikuwa najua kama alishakufa long time hivyo, lol!
afadhali sipo peke yangu
Kumbe jamaa alikufa siku nyingi hivi???
 
For real? jamani... RIP Oliver Ngoma
cc: EMT

ha haaa, kumbe tupo wengi....
Mwali umeona huu uzi ni wa lini?
eti pamoja na kuwa mpenzi sana wa nyimbo zake lakini sikuwa najua kama alishakufa long time hivyo, lol!
afadhali sipo peke yangu

Hakyanani nyie mtakuwa mnaumwa.

Oliver Ng'oma, one of my all times African singers.

Shame hata sijui alikuwa anasema nini kwenye nyimbo zake lakini hizo beats, gitaa, basi tuu.

 
Last edited by a moderator:
Hakyanani nyie mtakuwa mnaumwa.

Oliver Ng'oma, one of my all times African singers.

Shame hata sijui alikuwa anasema nini kwenye nyimbo zake lakini hizo beats, gitaa, basi tuu.
hiyo accusation ya kuumwa naikubali kabisaaaaaaaa, wala sipingi.
kweli eti sikuwa najua kama kafa, lol!
yaani kesho mtu angeniambia Oliver Ngoma anakuja kupiga uwanja wa taifa ningenunua tiketi..... kumbe.. mbuzi kwa gunia
 
  • Thanks
Reactions: EMT
hiyo accusation ya kuumwa naikubali kabisaaaaaaaa, wala sipingi.
kweli eti sikuwa najua kama kafa, lol!
yaani kesho mtu angeniambia Oliver Ngoma anakuja kupiga uwanja wa taifa ningenunua tiketi..... kumbe.. mbuzi kwa gunia


Hauko peke yako mkubwa mwenzangu....Hata mimi sikujua....

Nyimbo zake zinanikumbusha disco la Makutupora 1992....it was really great..!!


RIP Oliver N'goma

Babu DC!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom