Tabia ya Bongo Movie

Whackiest

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
1,015
1,118
Habari za muda huu wanajamvi, ni muda sana nimeitazama movie hii ya tabia kama kichwa cha thread kinavyosema. Nimepata changamoto katika kudownlod kwani youtube haipo kama kuna msaada niweze kuipata.
tabia.jpg
 
Kama umeipenda nunua tu hivyo hivyo.
Mkuuu unitakii mema kabisa mm katika movie hiyo kuna audio moja ali play mwamba hap juu alifuga nywele baada ya kumkosa binti ndio kiini kikubwa
 
Back
Top Bottom