Wimbo wa Mangwair - Party ya kiutuuzma

Wimbo wa Mangwair - Party ya kiutuuzma

Umenikumbusha mbali mkuu, "mtamboni amekaa majani", Ngwair he was real talented and unique,he was genius of music, R.I.P MANGWEHA,walaaniwe walionyonya damu yako na kuduulumu jasho la kazi yako!!!

#team Bongo record#
 
Ngwea, Mb dog, J-moe, Geeze Mabovu na C pwaa!!
Ilikuwa bonge la ngoma
 
I lov th song too... nakmbka enz zile unatoka nlikuwa nackiliza karb kila siku....
 
kwa waliosahau!! Ilikuaga ni ngoma maalum ya miaka kumi ya bongo record! Ilikuaga balaa! MAJANI ALIKUA MAJANI KWELI!!!
 
Umenikumbusha mbali mkuu, "mtamboni amekaa majani", Ngwair he was real talented and unique,he was genius of music, R.I.P MANGWEHA,walaaniwe walionyonya damu yako na kuduulumu jasho la kazi yako!!!

#team Bongo record#
Akiwemo majani mwenyewe. Japo uwa haisemwi ila alikuwa anawanyonya pia.
 
Kitu ambacho nafurahi ni kwamba, Bongo fleva inazaliwa naiona. Imepita kwenye migongano mingi sana.

Mwanzoni ilikuwa haikubaliki, walikuwa wanasema ni muziki wa kihuni, mpaka Bongo fleva imepata nafasi redioni haikuwa mchezo. Mwanzoni huu mziki ulikuwa wa kusikiliza kwenye kaseti tu
 
Back
Top Bottom