Hivi kuna burudani zaidi ya hii kwenye muziki? Halafu mtu atashangaa kwanini sipendi hizi takataka za Dabliyusibii! Af anatokea kenge mmoja anasema sikuhizi kuna mziki? Noorah was a pure talent...
Najua maisha yetu yamejaa moment nyingi za stress..kuna wakati kwenye siku yako unahitaji utulivu sana.
Najua tupo wengi ambao tunatumia nyimbo kujifariji.
Tupa nyimbo zako tatu kali ambazo...
Leo nilikuwa zangu Gheto nimepumzika nikaona bora nipige playlist zangu mbili tatu za kitambo nikumbuke Enzi
Aiseee kama bahati hivi nikajikuta nimeitupia ngoma ya Ngwair na Mchizi Mox ya kuitwa...
Bruno The Fisherman (Mvuvi Bruno)
Mtunzi. Nyemo Chilongo
Epsod 1
Hali ya hewa angani ilibadilika ghafla, jua kali lililokuwa likiwaka lilifunikwa na mawingu mazito ya kijivu yaliyokuwa yametanda...
MAMA MWAJEY
HAIKUWA siri kwamba maandazi anayouza Mama Mwantum hayakuwa na tofauti yoyote ya maana pale mtu angeyalinganisha na ya wenziwe.
Tangu unga anaotumia, mafuta anayokaangia mpaka meza...
Nimetoka Kusikiliza Nyimbo za Wasanii Wakubwa Watatu wa ' Singeli " hapa Tanzania nikajuta hata kwanini nilifungulia hiyo Redio ambayo TCRA nao wana Wajibu wa Kuisimamia.
Maudhui ya Kimatusi ya...
Wakati wa Uvamizi wa Benkii nchini fulaniii majambazi waliwaambia kwa sauti watu waliopo Mule benki "Musisogeee hata kidogo maana Pesa ni mali za serikali ila uhai wako ni ni mali yako "
Basi...
MZIGO USIO NA ANUANI
Sehemu ya 01.
Dar es Salaam, Saa 8:36 Usiku.
Mlio wa simu ndiyo uliomshtua Ashrafu Maganza kutoka katika usingizi mzito. Mwili wake ulichoka kutokana na kuchelewa kulala...
Ni Miaka Minne sasa imepiita, toka kifo cha mwanamziki huyu ambaye alikuwa na mvuto wa kipekee atutoke .
Jean de Dieu Makiese (Madilu Mult System) alifariki tarehe 11.08.2007, huko kinshasa, akiwa...
Habar ndugu wana JF,bila shaka tuko pamoja katika swala la burudani,ebu tuhamie katika nyanja ya burudani za cinema hasa zile za kitambo kidogo kwani,cha kale dhahabu hii imejidhihilisha katika...
Ni kuwa tunaukike au ni nini? Waimbaji kama Q chief, Zed Anto, Voice Wonder, Alikiba, Diamond, sijui nani the prince, oliver ngoma, Muumin Mwijuma, Waziri Sonyo nk ndiyo wanakubalika sana. Watu...
Nimeiangalia hii clip ambayo huyu dada amefanya "cover" kwenye sauti ya mchungaji mgogo, aisee huyu dada ana kipaji cha hali ya juu! Hii performance aliyoonyesha hapa ni kiwango cha hollywood 😂😂...
Kondeboy juzi kafanya booking o2 arena. Sababu ni AFROEAST album. Humo ndani kuna nyimbo kwangaru ambao ndo wimbo mkubwa kuwah kutokea tz haufikiii. Yaani kuna hits songs hataree.
Ikitoka hii...
Wiki hii nilipata nafasi ya kuangalia movie pamoja na series mpya kutoka NETFLIX ORIGINALS. Hizi zote wameziandaa wenyewe;
EXTRACTION (Movie)
Hii imejipatia umaarufu mkubwa sana kutokana na kuwa...
Nawasalimu kwa jina La JMT, Harmonize kiswahili ni lugha tajiri sana hususani kwa watu wenye mahusiano ya kunanihii, mmeshaelewa kila wimbo Harmonize lazima kumuita mpenzi wake baby, kila...
Habari za weekend wakuu. Bila kupoteza mda naomba kujulishwa majina ya movie kali hasa zinazoelezea historia ya kweli either ya mapinduzi au historia tu ya kitu fulani.Pia naomba kujulishwa movie...
Kwa wale wapenzi wa kuskiliza radio hivi karibuni Kama utatembelea Mkoa wa Ruvuma hasa mjini Songea Basi unaweza kufurahia uskivu murua wa kituo hiki kipya Cha radio.
kwanza nawapongeza...
Wakuu habari ya mapumziko ya sikukuu,natumaini mlio wengi kama mimi tuko nyumbani kwa mapumziko. Pamoja na shughuli za hapa na pale mimi natuliza akili kwa kuitazama movie ya Acts of Vengeance...
Kuna jamaa mmoja anasafiri safiri. Akikuta shule ya Kungfu anapiga wote hadi master. Akiulizwa ametoka wapi anajibu kuzimu na amekuja kuwafundisha kungfu.
Alienda shule moja alipiga master na...