Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Hii alama kama ya jicho ni mtandao gani wa social media wakuu.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Huyu kijana ni mwanamuziki wa kawaida sana, hii gharama ya viingilio vya mlangoni ambavyo waliomleta wanatutoza ni wizi wa mchana. Ni kweli tuna njaa na rhumba lakini kwa nchi iliyokongoroka kama...
6 Reactions
54 Replies
5K Views
Habari za usiku. Huu wimbo wa Vitalis Maembe umenichekesha baadae ukanifikirisha sana. Kaisari tumempa chake na vyetu anachukua... Huyu kijana ni hazina sana, mashairi yake yanafikirisha zaidi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni moja ya kazi nzuri ya msanii kevin hart Humu ndani namna gani baba alivyopambana kumlea mtoto katika mazingira yeyote hata akiwepo kazini Kevin hart kauvaa uhusika vizuri kabisa 100 percent...
2 Reactions
2 Replies
812 Views
Ndungu zangu kuna nyimbo zitaendelea kuishi miaka yote yaan. (NYIE WA KISASA SIKILIZENI NYIMBO ZENU WE MPELEKEEE MOTO NAISI ATA WATOTO ZENU WATAPELEKEWA MOTO IVO IVO) Antlantic starr-always...
11 Reactions
128 Replies
14K Views
Hadithi hizi zinapatikana katika kitabu Someni kwa furaha kitabu cha kwanza. Unaweza kuzisoma na nyingine nyingi bure ndani ya Maktaba app(by pictus), Icheki playstore. Kalume-Kenge...
4 Reactions
5 Replies
9K Views
Imesimuliwa na Zubeda Abdalla Omar Alitokea Chanjagaa akajenga nyumba akakaa, mwanangu Mwanasiti kijino kama chikichi, cha kujengea vikuta na vilango vya kupita. Hapo zamani za kale alikuwepo...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Album ya 'Donda' ya rapa Kanye West imeshika nafasi ya #1 katika chati za mauzo ya album nchini Uingereza baada ya kuuza kopi 20000 ktk wiki ya kwanza sokoni, asilimia 91 ni mauzo ya mtandaoni na...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Nimewaza sana.....hapo nani ANAIMBA na nani ANAIMBA IMBA..??
0 Reactions
3 Replies
971 Views
Umeonyesha ukomavu wa Hali ya juu Sana. Hivyo ndio mwanaume anatakiwa kuwa..
2 Reactions
7 Replies
2K Views
This is a story that has circulated on the internet for some time. I don’t know the author. I found it to be sweet and touching. – *** When I got home that night as my wife served dinner, I held...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Rapa Kendrick Lamar ameandikisha nyimbo mpya 30 ktk taasisi ya kusimamia haki za kazi za sanaa za wasanii nchini Marekani ikiwa ni matayarisho ya kutoa album yake ya mwisho chini ya lebo ya TDE...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kana huyu jamaa dullvani kwa mtindo huu basi kila mtu angeweza kuwa msanii. Watu wanajua sanaa ni kitu cha kawaida tu. Ndio maana sanaa ni kipaji na kwa sasa tanzania hawa wanajiita wasanii...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hapo zamani za kale ,alikuepo baba mmoja alikua akiishi na kijana wake wa kiume , kazi ya mzee ilikua ni fundi mwashi, Miaka ilisogea na uzee ulibisha hodi na kijana alizid imarika siku hadi siku...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Simulizi: ASANTE KWA KUNIFUTA MACHOZI (HISIA ZANGU) Mwandishi: JOSEPH SHALUWA Imeletwa kwenu na: BURE SERIES ***** SEHEMU YA 1 KATI YA 50 Edo wewe! Acha utani wako bwana... unajua...
3 Reactions
70 Replies
23K Views
Morning guys hii movie nimekuwa nikiitafuta kwa muda mrefu bila mafanikio huu ni mwendelezo wa avatar the last airbender part 1 hii ni part 2 Naweza ipata kwa website wazee mnipe muongozo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Napenda kuchukua nafasi hii kukukaribisha wewe mdau unaependa burudani, muziki katika Studio zetu mpya kabisa kwenye tasnia hii ya muziki wa bongo flava. Pia Masauti Entertainment Tunafanya Music...
2 Reactions
1 Replies
906 Views
HADITHI YA KUSISIMUWA NCHI YA WACHAWI -1 Picha za Juu mfano wa picha za bunduki za kichawi. "Kwa jina naitwa Israeli, lakini si yule mtoa roho za watu, hili ni jina ambalo linapatikana...
31 Reactions
147 Replies
296K Views
SIKU NITAKAPOKUFA ..01 AUTHOR: NEXT LEVEL. Katika kila maisha ya binadamu kuna sehemu tunapitia na kukutana na majaribu ya kila aina mbalimbali, lakini kuna kuzaliwa kuishi na kufa, lakini Mimi...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom