Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Ndugu wana jamii nakuja kwenu kuwaomba kwa mwenye nyimbo za kundi la bongo fleva la hard blasters crew(HBC) lililokuwa linaundwa na Niger J,Fanani na Big Willy ambazo ni 1.Funga kazi 2.Tuko nyuma...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
RIWAYA: BOMU MWANDISHI: HALFANI SUDY SIMU: 0652 212391 Sehemu ya Kwanza DANIEL Mwaseba aliamka ghafla kutoka katika usingizi aliodumu nao kwa saa zisizozidi tatu. Alifumbua macho kwa haraka huku...
8 Reactions
218 Replies
74K Views
MJUE MBILIA BEL Mbilia Bel (Mbilia Mboyo, Marie-Claire), Marie Claire Mbilia Mboy, maarufu kama Mbilia Bel alizaliwa jijini Kinshasa, tarehe 14 Agosti, 1959 au Januari 10, 1959 tatizo linakuja...
3 Reactions
33 Replies
16K Views
Kwa wale wapenzi wa series pitia hii link utapata series zote unazohitaji kwa kutumia simu yako ya mkononi tu. KUMBUKA: Jambo la kuzingatia ni kwamba unapoingia kwenye web hii tumia operamini na...
5 Reactions
27 Replies
12K Views
Moja ya villains bora kabisa katika cinema.
2 Reactions
7 Replies
882 Views
Habari wakuu, Nilikuwa na namba za wachambuzi wa muziki Kama Rajab Zomboko, Chacha Maginga lakini bahati mbaya nimefanya reset ya Simu sizioni Tena. Naomba mwenye namba hizo na za wachambuzi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika vipaji vikubwa katika bongo fleva bas ni pamoja na huyu dogo Marioo, kwa muda mrefu muziki wetu umekuwa ukienda kwa mihemko ya uteam na kufanya wasanii wakali wachukuliwe poa. Ila safari...
8 Reactions
22 Replies
4K Views
Kwa maproducer wa bongo sizani Kama sikumoja wataweza kufanya angalau kitu Kama hii
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa hizi takwimu TFF Watueleze inamaanisha uwezo wa uwanja wa Mkapa ni mkubwa kuliko Estadio Camp Nou F.C. Barcelona ambayo inabeba mashabiki 99,354 au Rungrado May Day Stadium wa huko Korea ya...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Nyanja: Mahusiano (Siyo tukio halisi) Wateja wa mgahawa mmoja wa chakula unaoitwa Kowak 4 Star Motel ulioko Ingri-Juu Wilayani Rorya wamefikishwa kituo cha Polisi baada ya kupigana vibaya sana...
1 Reactions
0 Replies
610 Views
Habari wanajamvi, nimewaletea mada hii kuhusu baadhi ya movie za ulaya na asia. Kuna hii movie inaitwa soz, nijikite wakati wale wapelelezi wawili wanamfatilia profesa. Walibain kuna mtu...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
MAJUTO NI MJUKUU Dada zangu kuna kitu cha kujifunza hapa Niliolewa na mwanaume mpole sanaaaaaa miaka mitano iliyopita, yani nikisema mpole ni mpole mno, hakunifatilia hata siku moja, hakuniuliza...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Nitashambuliwa ila ukweli na uongo havipikiki chungu kimoja,leo Simba Day imepoa sana ndugu zangu,nnaweza kutafsiriwa vibaya ila Ona hali ilivyokua saa 2:00 Asbh siku ya Wananchi na hali ilivyo...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Shairi: Tumejaliwa sana sisi Tanzania,Ngao yetu umoja tumeshikilia, heri tujiulize nyi watazania, vipi malengo yetu tumezingatia. Kiitikio: Mawazo ya Mwalimu yameshatimia, kudumisha umoja ndiyo...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Habari zenu wananjamvi. Mwenye hadithi za kitabu Cha HEKAYA ZA ABUNUWASI naomba atuwekee hapa.
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Niko tu mi baby Kama maji kwa mtungi Nyonga buli baby Nivute niiishi nibaki kishungi Aii zuri baby Nibandike nigande ka gundi Maakuli nilishe nishibe Kitumbo ndindi Unanikoleza, unanichombeza...
7 Reactions
66 Replies
4K Views
Rapa kutoka Mexico, Dan Sur @dansurig amefanyiwa upasuaji na kuondolewa nywele zake kichwani na kuwekewe cheni za dhahabu. Dan Sur anasema alitaka kufanya kitu tofauti, kuwa binadamu wa kwanza...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari wakuu Mimi ni mshabiki sana wa games hasa hasa mobile games sababu muda mwingi napata free nikiwa kazini kuliko nikiwa kwangu Nilikua najaribu kutafuta mashabiki wenzangu kama wapo...
1 Reactions
4 Replies
913 Views
Habari za mchana WanaJF filamu pendwa imeshaachiwa Unaweza Sogea Netnaija.movie kwa Uchumi huu wa tozo Netnaija.movie Mkombozi wetu [emoji39] Kama Uliangalia Dont Breath part 1 ya mwaka 2016 basi...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Kuanzia wiki ijayo Wasafi Media wanatarajia kuanzisha kipindi kipya cha asubuhi kitakachoruka kuanzia saa 11 asubuhi asubuhi mpaka saa 1 na nusu asubuhi, hii ni katika kuboresha na kuzidi kuijenga...
4 Reactions
42 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…