Hivi ile nyimbo ya kikongo ipo slow hivii
Huwa nasikia
"Mai Mai Mai Mai , mai Mai Mai , dangai Mai mai" wajuvi washaijua hivi kaimba nani na inaitwaje tafadhali.
KOSA LANGU - 01
Ilikua asubuhi nzuri sana iliyojaa uchangamfu wa aina yake. Hali ya hewa ilikua rafiki kwa kila mtu, mawingu mazito yalitanda anga zima la jiji la Dar es salaam na kulimeza jua...
Wana msemo wao wanasema "eyes wide shut"; ni "wide" (wazi) lakini hapohapo "shut" (yamefungwa)
Yaani wanadai tuko "macho kodo lakini hatuoni"
Na ndio maana wanatuita "sheeple" au kondoo;
na pia...
SIMULIZI FUPI - CHOZI LA FURAHA
Nilishuka garini nikiwa na furaha,hii baada ya kutoka likizo baada ya miezi sita ya kukaa chuoni.Mtu wa kwanza kumuoana alikuwa ni mama yangu ambaye alikuwa...
Subalkheri ndugu zangu,
Naomba yeyote mwenye wimbo wa gwiji Frank Humplink (1927 - 2007) anisaidie. Lengo la kutafuta wimbo wake ni kuutumia kufundisha darasani mchango wake wakati wa kupigania...
Hapa Makambako mi mgeni
Ebu nipeni location za viwanja vikali
# viwanja matata
#viwanja vilivyo changamka
# viwanja vya pombe
#viwanja vyenye misosi na choma
Sehemu fulani amazing
Mganga wa jadi nchini Ghana ameibuka na kudai kwamba yeye ndio alisababisha mchezaji wa zamani wa Chelseafc, @MichaelEssien kushuka kiwango.
Mganga huyo wakati anafanya interview na mtangazaji...
Orodha Ya Album Za Bongo fleva Zilizosikilizwa Zaidi Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Spotify.
1. #ABoyFromTandale -Diamond Platnumz Streams 30.4M
2. #SoundFromAfrica -Rayvanny Streams...
Mondi kama Mondi, Hakuna kipya humu just same Mondi akiendeleza kazi yake ya Muziki.
Kusema ukweli mwamba amefikia hatua hata siku akiachia clip anapiga muayo usishangae ikaenda on Trending na...
APPLE-01
NA
Tumain Ernest Stanslaus
Test van pream(Tvp)
Phone;0684024387
‘’Narudia tena, siwezi kumuamini mwanamke yeyote hapa duniani hata siku
moja , labda mama yang utu ambaye kidogo nayeye...
Nikki wa Pili kwa Mara ya kwanza aliingia studio na kufanya kolabo na Joh Makini mwenye wimbo wa Niaje Nivipi na nathubutu kusema sijawahi kusikia mashairi mazito na yenye ujumbe kama haya katika...
Kamwene wakuu. Wakati tukiwa tunaendelea na riwaya ya 'Mkono wa Chuma' iliyotungwa na Alex Kileo, kwa mara nyingine napenda kuwakaribisha tena katika riwaya nyingine ya kusisimua. Riwaya hii mpya...
Habarini wanajamvi:
Hakika kwa mafanikio ya hii album ya RAYVANNY-SOUND FROM AFRICA na diliki kusema kuwa GRAMMY AWARD huu mwaka RAYVANNY atabeba kiuraini na pia kuchukua MTV MAMA Kama listener...
Huwa najiuliza hili swali mara kwa mara wakuu, leo lazima mnipe majibu mtake msitake.
Hivi ni kwanini kwenye show za Michael Jackson watu walikua wanazimia.
Katika nyimbo zote basi huu wimbo...
Msanii wa Bongoflava bwana Naseeb Abdul alias Chibu ameachia nyimbo ya kumsifia mama Samia, isikilize hapa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] and give your review/critcs
Mtu anakwambia hilo no jina la kiislam,kikristo n.k
Kuna majina ya Kiswahili, kingereza, kifaransa,kiebrania, kigogo, kipare, kimatumbi n.k
Muhinu mpe jina mtoto lenye maana nzuri liwe la...
Wadau habari,kumejengeka utamaduni usiofaa wa kubeza,kukejeli na hata kutusi pale wawakilishi au muwakilishi wetu kwenye shindano au mashindano fulani anapo_fail. Binafsi sijui roho hii mbaya...