Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,318
- 8,229
Huwa najiuliza hili swali mara kwa mara wakuu, leo lazima mnipe majibu mtake msitake.
Hivi ni kwanini kwenye show za Michael Jackson watu walikua wanazimia.
Katika nyimbo zote basi huu wimbo wa ndio kiboko.