Natafuta wimbo wa Frank Humplink (1927 - 2007)

Natafuta wimbo wa Frank Humplink (1927 - 2007)

shinji

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
263
Reaction score
185
Subalkheri ndugu zangu,
Naomba yeyote mwenye wimbo wa gwiji Frank Humplink (1927 - 2007) anisaidie. Lengo la kutafuta wimbo wake ni kuutumia kufundisha darasani mchango wake wakati wa kupigania uhuru kwa njia ya muziki.

'Uganda nayo iende
Tanganyika ikichangaruka Kenya na Nyasa zitaumana
Nasikia fununu wanavyoichanachana China, Kitisho!
I am a democrat I don’t want communism English Yes No I don’t know Kizungu sikijui
Wanyika msishidane na Watanganyika'

Natanguliza shukrani.
 
Ukiweza kumpata mtu mmoja anaitwa Massoud Massoud atakupatia. Ni mtumishi wa TBC na ni mtanzania wa tafauti kabisa anajua miziki vibaya mno.
 
Ukiweza kumpata mtu mmoja anaitwa Massoud Massoud atakupatia. Ni mtumishi wa TBC na ni mtanzania wa tafauti kabisa anajua miziki vibaya mno.
Ugumu ni jinsi ya kumpata ndugu yangu maana nipo mbali na Dar es salaam
 
Ndugu zangu, wimbo bado sijaupata
Msaada wenu wa hali na mali
 
Back
Top Bottom