Nimekaa nikisubiri trela la pili la Spiderman: No Way Home kuletwa kwa Youtube leo hii. Wakati huohuo nikawa najiuliza kwa sababu gani watu wanasumbua sana vichwa vyao kujua ni Spiderman gani...
Stori za muziki.
Kwenye album ya Titanic yake JB Mpiana ya mwaka 1997 na Band yake ya Wenge BCBG Les Anges Adorables; kuna wimbo uitwao Baracuda. Katika wimbo huu namba tatu kwenye album hiyo...
Trailer imetoka haijafika 24 Hrs tayari kuna viewers zaidi ya 31M which is not common kwa movie trailer. Inaonesha kiasi movie ilivyo special
Spiderman ni superhero comic character pekee...
Na nitasimama tena, si ndotoni hadharani
Na mtaniona mchana, sio usiku gizani
Mtaona ninayonena, kutoka kwangu kinywani
Na nitasimama tena, si ndotoni hadharani
Kwa akili nayasema, sijawa...
"we are going to die soon so i need to know how it feels like ,,i can't die virgin"
By Arya Stack
Muda huo white walkers wako kwenye njia yao wana kuna na winter hii apa!..
Idea ya kwanza kabisa...
Huyu mwamba ni habari nyingine mazeee
Ana mistari matata sana, kwenye hii sanaaa
Leo nagusia sehemu ndogo sana ya mistari yake kwenye track mpya ya pamoja kutoka weusi (mbuppu)
Pia nitaonyesha...
Wakuu habari za jioni, unaweza kunambia ukubwa wa msanii unapimwa kwa umaarufu wake na wingi wa viewers YouTube au kuna kigezo gani ambacho wewe unaweza kitumia ukasema huyu msanii ni mkubwa?
Je...
Francois Luambo Makiadi
Introduction
Franco was for 30 plus years Africa's most popular and influential musician. For 30 years He thoroughly dominated the music charts all over Africa while...
Wanajamvi na wanahistoria naomba historia ya huyu mwana Mama Diva Jolie Detta aliyefanya kolabo ya wimbo Masuu na Lwambo. Mwanamziki huyu alikuwa na kipaji cha pekee na anastahili kuenziwa kazin...
Hugh Grant amecheza kama Muingereza flani ndani ya London mchovu ana hangaika na duka lake la vitabu huko Notting Hill(mfano Manzese changanyikeni)
Siku moja akiwa dukani anaingia Muigizaji wa...
Aisee Hii wikiend inaisha Vizuri sana link hiyo wanangu sina mengi sana zaidi Ila i bet Hii ndo movie Konki sana kutoka marvel [emoji41][emoji41][emoji41]...
Kwa wale wapenzi wa rumba. Mimi pia ni mpenzi wa rumba. Natafuta sana zile classics za rumba za Congo. Kama unafahamu classics za rumba tupia hapa twende sawa.
Mambo ya madiluu, Franco, Tshala...
Shang-chi The Legend of The Ten rings Ni movie ya kwanza ya Marvel kuwa na Leading asian character ukiachana na sisi weusi tulianza na Late Chadwick’s Black panther. Movie hii inafanya vizuri...
Habari zenu wapendwa natumai muwazima wa afya kabisaa, mdogo wenu me sijambo.
Kama kichwa cha THREAD kinavyosema hapo juu nilikuwa naomba kujuzwa kuhusu Wasafi FM maana mimi bado mgen na hii...