THE WITCHER NI MOJA YA SERIES BORA KABISA

THE WITCHER NI MOJA YA SERIES BORA KABISA

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2021
Posts
549
Reaction score
561
Humu utakutana na mzee mzima herry cavill ( geralt of ravia ) jamaa ni witcher kazi yao kubwa ni kupambana na mashetani na majitu ya ajabu ili kuwalinda binadamu lakini wao wenyewe ni mutant ( viumbe wenye uwezo mkubwa kutokana na mabadiliko ya kibailojia either binadamu au wanyama)

Sasa ndani ya hii series kuna mambo mengi kweli kuhusu uchawi mashetani yaani mambo yahusuyo nguvu za giza

Nendeni mkaitafute bonge moja la series lina season 2 tu nadhani inaendelea.

#weturnintotokillothermonster

naipa rate ya 9/10
Screenshot_20220109-215609_Opera%20Mini.jpg
 
Hujawahi kuona insyuka au shumileta wewe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom