Ngixolele ngoma kali ya Senzo

Ngixolele ngoma kali ya Senzo

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,163
Reaction score
12,401
Huyu mwamba kwenye reggae music yuko underrated. Hii ngoma Ngixolele na ngoma zake kibao kama Soldier ni kali sana na kweli ulimwengu wa Reggae to me he's next after Bob then Dube anakuja nafasi ya 3.
 
next time uwe unaweka na hiyo ngoma ili tujiridhishe juu ya uyasemayo..haya maneno maneno bila uthibitisho ni miyeyusho mzee wangu!
 
Rasta wake up [emoji95]
Screenshot_20220113-150831_Spotify.jpg
 
Back
Top Bottom