Labda nikiri tu kwa upande wangu hasa katika mziki wa reggae nimekuwa nikimsiliza zaidi legend Bob Marley
Kutokana na mziki anaofanya kuwa na messages nzuri sana
Sasa wakuu ukiachana na Bob Marley
Je ni wasanii au ngoma zipi nyingine za Reggae ambazo nazo ni nzuri hata ukisiliza hauchoki kabisa
Itakuwa vizuri kama utanitajia jina la msanii na wimbo wake