Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 15,127
- 35,496
Wakuu,
Kwa wale mnaotumia kitabu cha tumwabudu Mungu wetu, wimbo namba 49, au Tenzi za rohoni (sijui upo namba ngapi) au wote mnaoufahamu wimbo huu, (nakutegemea Yesu) ni wapi naweza kupata" Instrumental' yake.
Yaani wimbo uliopigwa kwa ala tupu za muziki bila maneno, nimetafuta bila mafanikio.
Natanguliza shukrani
Ubeti kwa kwanza;
1. Nakutegemea Yesu
Yesu peke yako tu
Wewe u mkombozi wangu
Unitulizae
Nakutegemea Yesu
Kwani u mkombozi Ulinifia
Ndipo nikakupenda sana
Wala sikuachi.