VITA KALI INAYOENDELEA HOLLYWOOD
Ukifika pale Marekani, sehemu moja iitwayo Hollywood, utakutana na vita moja kali sana kwenye masuala ya filamu, hivi vita ni za makundi matatu, ila kundi moja...
Sijui ni mimi tu au, ila naona kama nyimbo nyingi za Bongo Fleva ziku hizi fupi sana. Ni nadra kuona wimbo umezidi dakika 4.
Nyingi zinaishia dakika 3 na nusu na nyingine hadi dakika 2 na...
Wakuu moja kwa moja kwenye hoja.
Kwa muda sasa Baraza la Samaa Tanzania limekuwa likifungia nyimbo za wasanii lakini kwa kiasi kikubwa zikiwa ni za wasanii wanaoiponda serikali au viongozi wake...
Hii beat hata ukiimba singeli watu hawasikilizi unachosema wanatambaa na beat tu[emoji41][emoji41].
Hii beat haijawahi kumtakaa mtu hata gospel uta-beng tu.
Producer na muimbaji wa kwanza...
Wasafi TV na programu yao ya cheka tu wamefanya mapinduzi makubwa sana kwenye Stand Up comedy Tanzania. Wamezalisha vizazi vipya. Kwa sasa hawa ndiyo comedians wangu bora kabisa.
1. Mc Madevu...
Nawasalimu kwa JMT
Dalili ya mvua mawingu, Yanga yawabingwa ligi kuu 21/22 mapema tu hata mzunguko wa kwanza haujaisha[emoji23][emoji23][emoji23], Pia vikombe vyote chin yake atabeba. Bado...
Heshima kwenu wakuu...?
Naomba msaada wa kujua huu Wimbo niliuskia kama miaka mitatu nyuma wakuu.
Huu Wimbo ni Wimbo wa South Africa kama skosei, upo kimajonzi flani hivi, natumai kuna wadau...
Ukiskiliza EP ya Rayvanny nyimbo zote ni kali na hakuna ngoma utaskip zote ziko poa na utatamani kuskiliza tena na tena. Rayvanny alitulia sana alivyoandika hizi ngoma mashairi yamenyooka kama...
Hivi huyu The Notorious BIG kwenye wimbo wa I got a story tell alikuwa anamzungumzia nani?
Nimejaribu kuelewa anachozungumzia lakini wapi but kuna watu wanasema ni True Story.
Wataalam wa Hiphop...
Mimi ni chizi muziki napenda kila aina ya muziki najua mziki mzuri na mbaya.
Tukianza na ushabiki mimi ni timu Diamond
Yani Simba namkubali kindaki ndaki ata akifanyaga upuuzi huwa naona sawa...
Either him or whoever did that ni mwehu kweli. Nimecheki The Oval ya jamaa hadi episodes zilipoishia. Kiukweli huwezi tazama ile tamthilia na familia japo ni nzuri sana. Sasa kinachonishangaza...
Dar es Salaam, 18/11/2021; -NYOTA wa muziki wa Bongo Fleva, Kayumba Asosie almaarufu 'Kayumba' ameachia rasmi Extended Playlist (EP) yake ya kwanza iliyobeba jina la ‘Sweet Pain’.
EP hiyo imebeba...
Haya ni maneno aliyoyatamka Linda, binti wa pekee kwa wazazi wake. Baba yake alikua mlinzi wa majengo ya serikali kwa miaka mingi. Mama yake alikua mama wa nyumbani aliyejishughulisha na...