Mtukutu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 1,173
- 1,488
Kama wewe ni mpenzi wa comedian basi sizani utashindwa kumjua gwiji wa vichekesho Rowan atkinson maarufu kama Mr bean
Sasa Mzee amekuja na hii short series inaitwa man Vs bee humo Luna vituko na uharibifu chanzo ni hako Kanyuki yaan ni shida tupu ingawa mwenyewe bean Yuko serious kukawinda hako Kanyuki
Iko hivi bwana Christian na mpenzi wako Nina wanatoka kwenda kutembea Kula bata na watakuwa matembezi Kwa muda kwahiyo wakatafuta house sitter basi wakampata bwana Trevor (Mr bean ) [emoji38] baada ya kuachiwa nyumba na maelezo ya namna ya kitumia vitu maana nyumba yenyewe ni ya sasa kila umeme na code sasa bwana alivyotokea huyo nyuki ndo matatizo yote yakaanzia mpaka bwana Trevor akaenda jela .....
Naipa rate 9/10
Man Vs bee available now on netnaija.movie