Tujikumbushie kumbi za Disco za zamani na nyimbo zake

Uzi mubashara huu kwa vitu vya longi

Pale Chinese kulikuwa kuna Morani disco, Arusha by night undava undava babu sime mkononi chalii yangu.

Daaah,nakumbuka mbali sana nitarudi baadae
 
Baadhi ya kumbi hizo ni pamoja na

Leo hii hizi zote hazipo. Shudu inn na Shemazi zilizokuwa eneo la Gongo la Mboto. Maeneo ya Kipawa kulikuwa na Uwanja wa ndege kulikuwa na ukumbi wa Ruvuma mpaka maputo, Mazongera , CCM na 7 na Mawenzi.
Wengi pia bado wakukumbuka umaarufu wa katika sanaa

Kule kwetu manzese kulikuwa na ukumbi maarufu wa zimbwini na makutano ambako kikundi cha
cha marehemu Salum magadhabu kilikuwa na maskani yake. Kigongo bar ya Buguruni Wami Bar ya mwananyamala, Mkirikiti ya Msasani, Igongwe Bar na Silent inn za mwenge.

Makutano dancing troupe Kigamboni kulikuwa na Temeke kulikuwa na
na sehemu mbali za jijini ambako vikundi mbali vya sanaa na ngoma vilikuwa vinaburudisha mwishoni mwa wiki.

Sasa hivi tumebaki na kumbi za DDC na nyingine chache sana kama Jumba la Urafiki. flamingo
Super min bar
 
Baadhi ya kumbi hizo ni pamoja na
Leo hii hizi zote hazipo. Shudu inn na Shemazi zilizokuwa eneo la Gongo la Mboto. Maeneo ya Kipawa kulikuwa na Uwanja wa ndege kulikuwa na ukumbi wa Ruvuma mpaka maputo, Mazongera , CCM na 7 na Mawenzi.
Wengi pia bado wakukumbuka umaarufu wa
katika sanaa,
Kule kwetu manzese kulikuwa na ukumbi maarufu wa zimbwini na makutano ambako kikundi cha
cha marehemu Salum magadhabu kilikuwa na maskani yake. Kigongo bar ya Buguruni Wami Bar ya mwananyamala, Mkirikiti ya Msasani, Igongwe Bar na Silent inn za mwenge.
makutano dancing troupe
Kigamboni kulikuwa na
, Temeke kulikuwa na
na sehemu mbali za jijini ambako vikundi mbali vya sanaa na ngoma vilikuwa vinaburudisha mwishoni mwa wiki. Sasa hivi tumebaki na kumbi za DDC na nyingine chache sana kama Jumba la Urafiki. flamingo
Super min bar

Uko vzr kk
 
7th floor at new Africa Hotel.....DJ Bonny Love.............Naughty by Nature "OPP", Salt-N-Pepa " Lets talk about sex" , Luniz "I got 5 on it",
California Dreamer...............Mc Lyte, "I rock the party" , Foxy brown, "I gotta get you home with me tonight"
 
Umenikumbusha mbaaaali saana Salt N Pepa
Yaah hizo nyimbo ziliambatana na opp
Should i say yes shoul i say no
 
Back
Top Bottom