Mbeya Jiji

Mbeya Jiji

Baba Wille

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2014
Posts
548
Reaction score
556
Wadau hapa Mbeya Jijini huwa mnaenda wapi? Mi mgeni naona pamekaa hovyo hovyo tuu sijui hata pa kuanzia. Please advice!
 
Wadau hapa Mbeya Jijini huwa mnaenda wapi? Mi mgeni naona pamekaa hovyo hovyo tuu sijui hata pa kuanzia. Please advice!
Inategemea unataka kwenda kufanya nini..!! kama kuangalia mpira saa hizi Sokoine pale hakuna mechi..!! Kama kununua mitumba, Mwanjelwa washafunga usiku huu..!!! Mafyurisi mida hii si Sokomatola wala Mwanjelwa utakakoyapata..!! Sema unataka nini ili wana wakupe location.
 
Kwenda wapi kivipi?Sehemu huijui lakini unazodoa utadhani una jiji lako ulilojijengea mwenyewe!

Mkuu, jijini pangu ni Dar sasa huku mkoani kidogo ni technical, jijini ukishafika kitambaa cheupe umemaliza ila hapa ni shida!
 
Utakesha hapo hakuna pa kwenda,we nenda kanisani tu,mji umejaa nakanisa
 
Unajuwa hajasema anataka kwenda kufanya nini..!! Aseme kama ni dada poa aambiwe waliko
Siyo mjanja huyo.Wajanja huwa wanaenda kwa hisia na kunusa.Utashtukia tu anachotaka anacho tayari au kama ni eneo la burudani kafika.Uendapo sehemu unatakiwa upate "michoro" kabla haujafika huko.Huyo bado mchanga sana.Mwisho atauliza ugali wanauza wapi!
 
Back
Top Bottom