Inasemekana nguli wa muziki wa Rhumba Francois Lwambo Makiadi aliachia zaidi ya nyimbo 1000 akishirikiana na bend Yake ya Tout Puisant Ochestra Kinshasha ( T.P.O.K).
Kusema ukweli wengi wengi...
Baada ya kusikiliza Singeli, Taarabu na Vijembe kwa miaka takriban Sita hii RnB niliyoanza kuisikia sasa ni njema na good for a change....
Sijajua kama ni kweli RnB ni bora kuliko zile kelele...
Is it the bodyguards around you?
Is it the high walls where you live?
Or is it the men with the gun around you
Twenty four hours a day
That make you ignore the crying of the people?
Farmers get...
๐ง๐๐ ๐ ๐ข๐๐๐ฅ๐ก ๐ช๐๐ฅ
(๐ฉ๐ถ๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐ธ๐ถ๐๐ฎ๐๐ฎ)
๐ ๐๐๐ป๐๐ถ:๐๐ฎ๐๐น ๐ฑ๐ฎ๐๐ถ๐ฑ
๐ช๐ต๐ฎ๐๐๐ฎ๐ฝ: 0756862047
๐จ๐ง๐๐ก๐๐จ๐๐๐ญ๐...
"Mwanzo ilikuwa ni vita rahisi sana, vita dhidi ya ndugu yangu wa damu aliyeenda kinyume na kanuni za maisha...
Shaloom wakuu,
Tasnia ya muziki wa injili kwa vikundi vya kwaya hapa Tanzania ni tasnia kongwe na iliyotawala zaidi kwenye chati za nyimbo za dini ya Kikristo mpaka ilipofikia miaka ya 2000's...
"Hakuna njia nzuri na rahisi ya kushoot scene za namna hii. Ila lengo kuu ni kuhakikisha wahusika wameridhika na wako comfortable na tukio. Tunawapa actors uchaguzi wa kuachana na kuondoka kama...
Niseme tu kwa upande wangu ile filamu ilikuwa bora sana. Waigizaje wake walivaaa uhusika vema pia director alijitahidi.
Ile kwa mm ndio project na tamthilia bora toka nchini kwetu. Huwezi...
Baada ya kufariki kwa kushtukiza kwa rapa namba mbili wa Wenge BCBG yake JB Mpiana aitwae Faustine Nzinga Yankobo (jina la Kimuziki CELLULAIRE) ilichukua muda mrefu kumpata mrithi wa kumsaidia...
Jamaa kaandika sana, ni kama kaandika kitabu cha kukufundisha njia za mafanikio. Jamaa ni MWAMBA KWELI.[emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487]
Ngoma yake ya Makasia ina vigezo vyote vya...
Nasikia Kiingilio ni Bure na Bia nazo ni bure kwa idadi uitakayo halafu Wanawake wote wanatakiwa Kuvaa Madela ila ndani wawe Watupu tu
Vile vile Watumbuizaji wakuu ni Christian Bella na Mboso na...
Habarini za saa hizi ndugu zangu!!
Natumai afya zenu ziko salama kabisa
Ngoja niende tu moja kwa moja kwenye mada husika.
Hili swali linanipaga utata kidogo maana naonaga tu akina fulani...
Kama hujui hip hop au Kama umeujua muziki baada ya Diamond au kama umejua muziki wa hip hop baada ya kumsikia Nikki mbishi au Songa basi naomba uachane na huu uzi Maana itakuwa hujui nyimbo...
Familia zinazotumia NETFLIX majumbani kuweni makini kwani propaganda za ushoga zimeshamili ili kuandaa watu kisaikolojia ususani watoto wetu.
Ushoga umeingizwa hadi kwenye cartoons za watoto...
Rapa huyo aliyebadili jina na kujiita 'Ye', ametangaza nia hiyo licha ya kufanya vibaya katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka wa 2020 aliopata Kura 60,000 kati ya Milioni 158.4 zilizopigwa.
Katika video...
imesisikitisha sana hii series maana niliingojea kwa hamu. Jamaa wamechukua story nzuri na kuiharibu kabisa. Uigizaji mbovu scenes nyingi za kitoto sana. pengine labda huko mbele itabadilika...
Nawasalimu Great Thinkers,
Kama kuna watu waliojaliwa vipaji na wamevitumia ni hawa jamaa wawili Diblo Dibala na Dally Kimoko, hawana utani wanapokamata mpini, mfano Diblo Dibala (Extra Boy)...
Nikiwa nasikiliza nyimbo hizi machozi hunitoka machoni, na kuona Dunia ni bure kabisa na ninahisi uwepo wa Mungu ndani yangu.
1. Matendo ya Mungu
Hii beti hii;
"Na kama Eliya upesi kabisa...