Baada ya Singeli ya Muda Mrefu; You will Appreciate R&B

Baada ya Singeli ya Muda Mrefu; You will Appreciate R&B

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
17,572
Reaction score
27,391
Baada ya kusikiliza Singeli, Taarabu na Vijembe kwa miaka takriban Sita hii RnB niliyoanza kuisikia sasa ni njema na good for a change....

Sijajua kama ni kweli RnB ni bora kuliko zile kelele (Singeli) ila huenda masikio yangu yalikuwa yamechoka na hii tofauti naiona ni bora zaidi kutokana na kilichopita....

Nadhani hata kwa wapenda singeli sidhani kama wanaweza au wangeweza kuisikiliza mfululizo..., Kweli Change is Good....
 
Duh huenda hii haikuwa RnB bali ni Taarabu..., Na sasa hivi hakuna cha RNB tena ni Kimya tu yaani Sintofamu, na kila kikisikika cha kusikaka ni Taarabu za Vijembe !!!!
 
Back
Top Bottom