Hapo zamani za kale, katika kijiji kidogo kilichokuwa milimani, kuliishi mwanamke mmoja aliyeitwa Mariamu. Mariamu alikuwa mtu mwenye fadhili na mpole, aliyependwa na watu wote kijijini. Hata...
Habari nilikua naomba msaada wakupata qaswida ya Al Madrasat Raufu Rahim inaitwa zawadi nimeangaika sana YouTube sijapata naomba mwenye nayo anitumie 0693620048 wsp
RIWAYA; MWIBA WA CHUMA.
Na; Bahati Kisarwa Mwamba.
Simu; WhatsApp 0658564341
1.
Siku kwake ilikuwa inaelekea kuisha vema. Jioni ya siku hiyo aliamua kuimalizia kwa...
Mkali wa Bongo Flava, Toto Bad a.k.a Marioo ameshare picha ya Plaque kutoka Boomplay zikionesha idadi ya watu usikilizwaji wa albam yake pamoja na wimbo wa Mi Amore ambao umepata streams Milioni...
Ni bora nijuue kuliko haya yatayo nifika, nitakufa kikatili na kupoteza kila kitu nilichokipigania kwa jasho na vitisho ( Vera aliongea na moyo wake akiwa kwenye basi akitokea wilaya ya handeni...
Wakuu habari za asubuhi, Kwema ndugu zangu. Watu wa Hip Hop nawaomba hapa.
Hivi ni kweli Album ya Profesa Jay, Machozi Jasho na Damu. Ndio Album Bora ya HIP HOP ya muda wote?
Kama ni kweli kwa...
MISS TANZANIA
SEHEMU YA 1
MTUNZI : PATRICK.CK
“Patrick amka darling inakaribia saa nne sasa”Alisema Veronika kwa sauti laini ya kubembeleza.
“‘Mmmmhhh”Akaguna Patrick ,akajigeuza upande wa pili na...
Chris Brown ameonesha hisia za kutopendezwa na kitendo cha kukosa tuzo ya Grammy kupitia albamu bora ya R&B, kwa kueleza kuwa hajawahi hata kumsikia mshindi aliyetajwa ambaye ni Robert Glasper...
Chris Brown amemuomba msamaha Robert Glasper baada ya kumkashifu kufuatia kushindwa kwake katika uwaniaji wa Tuzo ya Grammy.
Mwimbaji huyo wa "Under the Influence" ameweka picha Instagram ikiwa...
Sekta ya muziki duniani inajitayarisha kwaajili ya usiku mkubwa wa mwaka kupitia tuzo za 65 za Grammy. Huku wasanii wa Kiafrika wakipokea teuzi za kihistoria katika kategori tofauti mwaka huu...
Imechambuliwa na kuandikwa na Ally Nassor Px .
Tarehe 6 February 2023.
Sehemu ya kwanza kuipost ni hapa JF Lakini pia nitaipost Twitter.
____________________________________
Video imetoka...
Imechambuliwa na kuandikwa na Ally Nassor Px .
Tarehe 5 February 2023.
Sehemu ya kwanza kuipost ni hapa JF sehemu ya pili itakuwa ni Facebook na mwisho kabisa nitamalizia Twitter...
Mmeshindaje wapendwa siku imeendaje?
Jana ndoto yangu hilitima kwakweli nilifurahi sana nilikuwa naona wivu nikifika sehemu watu wana agiza uku wanaletewa wakiwa wameandika majina yao kwenye...
Hivi kati ya Album hizi, ipi iko hot sana kuliko nyingine?
AFRO EAST by Harmonize
A BOY FROM TANDALE by Diamond Platnumz
LOVE SOUNDS DIFFERENT by Barnaba
A SLAVE BECOME A KING by Darassa
FOA by...
My name is Jovin, and I am 30 years old. Please read my true story and then advise me.
In search for my life, I moved to Iringa Region from Dar es Salaam Region; I have no mother or father; I...
Baada ya kuwepo tetesi za mastaa hao kufanya onesho la pamoja, #RecordingAcademy ambao ni waandaji wa Tuzo za #Grammys wamethibitisha kuwa #JAYZ atakuwa kati ya wasani watakaotumbuiza Jumapili...