Huu wimbo humu wote tumeshindwa kuujua

Huu wimbo humu wote tumeshindwa kuujua

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
900
Reaction score
3,112
Nahisi ni mapigo ya huko bondeni
 
SABC 1 ni TV yao huko bondeni na huo Wimbo nishawahi usikia unawapongeza wanandoa hao ni wimbo mzuri sana watu wana furahi kwa kumwagilia moyo na wakicheza wote kwa step zinazofanana...
 
Hao mkuu ni mafikizilo tena kupindi wote watatu wakiwepo, kuna huyo mwanamke ambaye ndio lead vocalist, nyuma yake kwenye hiyo video, alipigwa risasi na kufa ,kisa ni road rage, pls guy's unapoendesha jitahidi kuwa cool hata kama umechomokewa,just relax guy's, road rage inaua
 
Back
Top Bottom