Albamu ya Prof. Jay ya "Machozi Jasho na Damu" Ndio Album Bora ya Hiphop ya muda wote?

Ndio ni album bora kabisa mimi nimeisikiliza mstari kwa mstari neno kwa neno

Km umefuatilia vizuri wasanii wengi wa zamani wa hip-hop shule walienda walau walipata elimu ya Advance kwenda juu

Msanii mwenye elimu mara chache sana kutunga vitu visivyo maana
 
Wakuu habari za asubuhi, Kwema ndugu zangu. Watu wa Hip Hop nawaomba hapa...

Hivi ni kweli Album ya Profesa Jay, Machozi Jasho na Damu. Ndio Album Bora ya HIP HOP ya muda wote?

Kama ni kweli kwa vigezo vipi? Karibu wadau tuchangie..

#Forgive Me
Vipi kuhusu Ile ya dazinundazi na feruzi
 
At that time mziki ulikua uhuni tuu sio kitu cha heshima... ila hii album ya jizze ilifanya hadi watu wazima waiskilize na kuanza kupay attention kwa mziki kwamba kumbe kuna watu wanaandika vitu vya maana kupitia huu mziki
 
Tunasikiliza na madingi albam za sugu tangu 1990s huko!!!
 
Sa sugu si ana nyimbo kali chache sana kwa mtazamo wangu
Sugu ana albam 12,alianza kutoa ya kwanza 1995,inaitwa king kong,kila albam Ina nyimbo 12,albam ya mwisho alitoa 2001 muziki na maisha(Sina hakika Sana),hizo nyimbo chache Kali ni zipi!?...
 
Sugu ana albam 12,alianza kutoa ya kwanza 1995,inaitwa king kong,kila albam Ina nyimbo 12,albam ya mwisho alitoa 2001 muziki na maisha(Sina hakika Sana),hizo nyimbo chache Kali ni zipi!?...
Hoja sio nyimbo nyingi wal albam nyingi.. binafsi nyimbo za sugu nazijua chache sana kwa majina bkoz nyungne haziskiliziki wala nn..
Ukimzungumzia prof ana hit nyingi sana ambazo huhitaju kukuna kichwa kuzikumbuka
 
Wakuu habari za asubuhi, Kwema ndugu zangu. Watu wa Hip Hop nawaomba hapa...

Hivi ni kweli Album ya Profesa Jay, Machozi Jasho na Damu. Ndio Album Bora ya HIP HOP ya muda wote?

Kama ni kweli kwa vigezo vipi? Karibu wadau tuchangie..

#Forgive Me
Sio mjadala hii albamu ni bora kwa vigezo vingi tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom