MjukuWaBabu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 456
- 721
Hii mechi ni muhimu Sana kwa Everton than Arsenal. Second half, yupo mbele kwa 1-0. Let's continue watching.
Matches zilizobaki ni ngumu na hazitabiriki. EPL apa ndipo inaonesha ubora wake kati ya leagues kubwa ulaya na Duniani kwa ujumla.Arsenal anaanza kuvutwa shati.