LANGO LA MOTONI
CHAPTER 1
Jumatatu YA TAREHE 26/12/2022
Majira ya saa tisa na dakika arobaini na saba kulionekana dada mmoja ambaye hakuonekana nadhifu kwa mwonekano wa mavazi yake pamoja...
Ed Sheeran tells Rolling Stone that he wanted Jay-Z to be on “Shape Of You.”
“I sent him the song, and he said, ‘I don’t think the song needs a rap verse.’”
“He was probably right. He’s got a...
Morng Africa. Mimi ninyimbo zangu bora kabisa ni hizi
1) Moyo wangu umekuambia
2) Nalisema nitayakili maasi yangu kwa bwana
3) Fahari yetu ni msalaba
4) Ikatoka damu ikatoka maji pia
5) Mama pale...
Katika pita pita zangu YouTube nilikua nimeumiss wimbo wa Ambwene mwasonge "unikumbuke" maana hua navutiwana Melody yake pamoja na ujumbe ndani ya wimbo huo.
Wakati nasikiliza wimbo unao simulia...
Kuthibitisha kuwa kijana bado ana njaa ya mafanikio,tarehe 22 July ataachia project aliyoifanya na msanii kutoka Marekani,Future.
Diamond Platnumz ameyasema hayo kupitia account yake ya...
Kwanza tu jina lake ukilisikia limekaa kibabe. Mandonga Mtu Kazi. Huyu jamaa amewafanya watu wengi wafatilie ngumi tofauti na ilivyokuwa awali. Hapa naongelea wale watu wasiopenda huu mchezo hasa...
Link ipo chini, katazame huko youtube, like na u subscribe asante sana.
Filamu Pictures, wanawaletea kazi ya filamu ya kitanzania iitwayo PETE
Kutana na Bwana Lidawi, mvuvi mwenye hali ngumu na...
Mfano
nitajuta -yamoto band na nakukumbuka -Diamond beat ina ukakasi
Socco ya wizkid na chombo ya rayvany kuna ukakasi
Swagilie ya weusi na started from bottom kuna ukakasi
......endeleza...
Kuna mahali nimekaa napata kilaji, kuna nyimbo zimepigwa hata sijaamini.
Hii ni aina ya miziki ambayo ni ngumu kuisikia mitaani, kuna jamaa yangu aliwah niambia kuwa nasikiliza nyimbo ambazo...
MIKWAJU 50 KUTOKA KWA DUNGA
Nilianza KUSIKIA kazi zake akiwa na ndugu yake aitwaye SHAKII, huku wakisuka MIDUNDO mikali.
Miaka ikaenda, nikamsikia akifanya ushirika na LAMAR pale 41 RECORDS...
Kwa tuliokuwa tunafuatilia kwa karibu Hip Hop ya Bongo tunaikumbuka vizuri Mixtape ya Antivirus. Hii ni mixtape iliyokuwa engineered na Joseph Sugu na wenzake wakiwepo Mapacha, Rado na wengine...
KISIWA CHENYE HAZINA
Mtunzi: Robert Louis Stevenson,1883.
Mtafsiri: F johnson na Edwin W Brenn, 1928.
Marekebisho: Pictuss, 2021.
Pictuspublishers@gmail.com
Kinapatikana ndani ya maktaba app by...
Kwanza nianze Kwa kutoa disclaimer kisa hiki ni Cha kweli majina yaliyotumika hapa ni ya kweli bila kubadili chochote ilirekodiwa NAMI nikaihamisha kimaandishi kama ilivyo.
MWANZO
Kwa majina...
HANDSOME BOYS...[emoji7]
SONGA NAYO...........
"Maisha yangu yamekuwa ya mapito mateso na furaha pia, vyote vimekuwa vikichukua nafasi katika maisha yangu na kunifanya niwe imara na kuwa na...
Ten years ago today, Ariana Grande released ‘The Way’ featuring Mac Miller.
The lead single off ‘Yours Truly’ was the megastar’s mainstream debut, peaking at #9 on the Billboard Hot 100. It was...
Weekend ikiwa inakaribia,
Kwa sisi wapenzi wa Movies ambao tunafanya shughuli zetu nyingine mbali mbali huwa inakuwa ngumu kupata Movies sahihi za Kuangalia kwa sababu hatuna vyanzo wala muda wa...