Diamond kuachia kazi yake aliyofanya na msanii Future kutoka Marekani

George Betram

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
4,018
4,909
Kuthibitisha kuwa kijana bado ana njaa ya mafanikio,tarehe 22 July ataachia project aliyoifanya na msanii kutoka Marekani,Future.
Diamond Platnumz ameyasema hayo kupitia account yake ya instagram,sasa sijui ni kweli au ni kiki za hawa vijana wa WCB,muda ndio msema kweli.

diamond-platnumz.jpg
Diamond Platnumz /SIMBAAAA

en-cours-nouveau-morceau-de-future-en-attendant-evol-son-649.jpg

Future
 
Kuthibitisha kuwa kijana bado ana njaa ya mafanikio,tarehe 22 July ataachia project aliyoifanya na msanii kutoka Marekani,Future.
Diamond Platnumz ameyasema hayo kupitia account yake ya instagram,sasa sijui ni kweli au ni kiki za hawa vijana wa WCB,muda ndio msema kweli.

View attachment 496915 Diamond Platnumz /SIMBAAAA

View attachment 496916
Future
Sababu alitoa kama no ujue hiyo nayo ni promo tu
 
Back
Top Bottom