Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Hamjambo humu ndani😉nimewamiss haki tena. Bhana sijui ndio nataman kuwa kwenye mapenzi ama laa🫣🫣maana huu wimbo tangu saa sita mchana mpka sasa ninaupiga na sijafikiria kuuchoka. Huu wimbo...
14 Reactions
95 Replies
5K Views
Kwa wale wa Originality, Different, and Creativity, with a bit of one liners and humorous dialogues ; A Case every Episode while looking at a bigger picture... One of the Best Series at the...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
23 years ago today, Britney Spears released ‘‘Oops!... I Did It Again.’ The Grammy-nominated pop classic served as the lead single off her blockbuster sophomore album. It was a #1 hit in the...
1 Reactions
4 Replies
622 Views
Mwanzoni nilikua napenda kuishi sehemu ambayo haina makelele lkn sasa nimekuwa mtu wa stress sana siishi na familia yangu nimekuwa mtu wa mawazo sielewi hatma yangu kuondokana na stress nakunywa...
0 Reactions
18 Replies
813 Views
Kenge kwenye moja na mbili Hivi ni kweli MTAJI WA MASKINI NI NGUVU?? Kama ni kweli acha nikawe mwizi..Ngoja kwanza nikiwa mwizi si ZA MWIZI NI AROBAINI?? Amakweli NGOMBE WA MASIKI HAZAI,NA AKIZAA...
1 Reactions
4 Replies
965 Views
Habari zenu wana JF Natumai Pasaka imeisha salama. Miaka kidogo iliyopita kulikua na uzi watu walipost bongofleva zile old school. Ziliwekwa mp3 hapo lakini ule uzi sijui ulifutwa au la. Mimi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mmiliki wa hii Pub hapa Iringa ana kazi kubwa ya kufanya. Niko hapa saa hii, huduma ni Mbovu ajabu, wahudumu wana lugha za ajabu na dharau hadi unashangaa. Kama ilivyo kwa Liquor store nyingi...
0 Reactions
1 Replies
666 Views
Thanks to South African Amapiano.
2 Reactions
8 Replies
432 Views
Wapi kuna live BAND muda huu hasa Kindondoni nataka nikapunguze stress.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Jioni baada ya kutoka mihangaikoni nimekaa geto, nikitafakari siku yangu imeendaje. Wakati huo wa kutafakari huwa napenda kusikiliza muziki na miziki yangu mara nyingi ni Hip Hop na Reggae ila leo...
2 Reactions
2 Replies
628 Views
Mwamba huyo ni koffi olomide. Yoyote moja itutulize na sisi great thinkers
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Album ya Msanii wa Muziki wa Injili Christina Shusho Aprili 9, 2023 katika Tamasha la Mtoko...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kabint niliwah kukatongoza kakanikataaa Baada ya miez kadhaa siku km ya leo nikakuta missed call yake kwenye kimeo changu Nikaenda kwenye simu ya kijiji ili nimrukie hewan Tunaiita sim ya kijij...
1 Reactions
17 Replies
983 Views
-BUSU (KISS)- (Kutoka Ikulu hadi Kumpenda Kiziwi) Episode one Hey! Naitwa Jack, ni mtoto wa kitajiri na nina miaka 24...
2 Reactions
41 Replies
11K Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amewasili Mlimani City Jijini Dar es Salaam, tayari kwa ajili ya Tamasha la Mtoko wa Pasaka Aprili 9, 2023 linalowakutanisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwenu wadau... Kile kipindi cha ule utatu (Bantu, Gadner na Musa) kiukweli wamekipunja muda. Wale walevi wanafanya poa sana kudadeki zao, masaa 2 hayawatoshi kabisa. Uongozi wa CMG ulifanyie kazi...
1 Reactions
0 Replies
994 Views
Oya wadau vp nlikua naomba muv za martin Laurence mnazo zijua
1 Reactions
1 Replies
422 Views
Simulizi : SAFARI NDEFU KUELEKEA KABURINI Mwandishi : NYEMO CHILONGANI Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 Muda ulikuwa ukizidi kwenda mbele huku dereva wa gari ndogo aina ya Prado...
8 Reactions
105 Replies
17K Views
Mh Rais najua Kuna baadhi ya watanzania hawakutakii mema na upo nao HAPO Serikalini Mama Dr. Rais Samia Hizi ndo nyimbo ZINAZO pigwa mtaani kwetu huku Mae. Kula ngomaaaaa Mh Rais Pasaka njema...
0 Reactions
9 Replies
898 Views
Habari, Kwa wale wenzetu waliowenyeji na South Africa naomba mnisaidie hili. Nimekutana na Makaburu wawili nyakati tofauti na wote niliwauliza kuhusu huu mziki, wote hakuonyesha kuujali kabisa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…