UPWEKE

UPWEKE

Nkulu wa nchito

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
1,850
Reaction score
2,355
Mwanzoni nilikua napenda kuishi sehemu ambayo haina makelele lkn sasa nimekuwa mtu wa stress sana siishi na familia yangu nimekuwa mtu wa mawazo sielewi hatma yangu kuondokana na stress nakunywa pombe nimekua mlevi lkn nikikaa na wife sinywi kwanza ninanawiri napenda sana kuishi na familia
 
Binadamu ameumbiwa kelele, ukikaa eneo lenye kelele za kwenye mazingira hupunguza kelele za ndani ya kichwa(mawazo) na ukikaa neo lenye utulivu unaongea kelele za ndani ya kichwa(mawazo)
 
Wewe Unajitambua Vizuri Unafanya Unachojua Na Kukitaka
 
Mwanzoni nilikua napenda kuishi sehemu ambayo haina makelele lkn sasa nimekuwa mtu wa stress sana siishi na familia yangu nimekuwa mtu wa mawazo sielewi hatma yangu kuondokana na stress nakunywa pombe nimekua mlevi lkn nikikaa na wife sinywi kwanza ninanawiri napenda sana kuishi na familia
Mkuu pambana ukaungane na familia yako ili usije kufia chumbani,

Unaweza kujikuta unapoteza na hamu ya kula ndio Mwanzo wa kuvialika vidonda vya tumbo.

Narudia tena pambana ubadili mazingira ukaungane na familia yako hiyo ndio pona yako.

Nina uzoefu wa unachopitia
 
Napitia kipindi kigumu sana naipenda familia yangu mm siyo mtu wa michepuko nikiwa na familia yangu najitahidi kupata uhamisho lkn inashindikana
 
Na Kama upo mazingira tata ya kupata uhamisho aisee take care ,,anzisha vita ya kuhama .

Ni dhahiri upo kituo Cha kazi ambacho kina mauzauza na majungu km kwangu.
Yah ni kweli wanaongea mengi lkn nayapuuzia napenda niishi na familia yngu
 
Napitia kipindi kigumu sana naipenda familia yangu mm siyo mtu wa michepuko nikiwa na familia yangu najitahidi kupata uhamisho lkn inashindikana
Uhamisho kwa Sasa Ni pesa TU,Cha msingi chokoza documents ziwepo kwenye faili wakijichanganya kukusainia tu umemaliza. Cheza na mkuu wa idara acha na vibosi Uchwara wanaopenda kujifungia ofsn kupiga jungu kumbe Ni vilaza
 
Mdaa huu Niko geto
Sina demu
Sina Hela
Sina marafki
Sina chochote
Daaah..

Mm ndio Ivo Tena baaas ..hauko peke yako tupo wengi
 
Mkuu acha hizo utumishi wa umma ni sio starehe,
 
Mdaa huu Niko geto
Sina demu
Sina Hela
Sina marafki
Sina chochote
Daaah..

Mm ndio Ivo Tena baaas ..hauko peke yako tupo wengi
Naona hujaelewa mada na umedakia kutuletea story za maisha yako binafsi na unachokipitia.

Kwanza hilo geto ulipangaje bwamdogo?! Sasa kama huna chochote ni geto au ni hall hilo?! 🤔

Nakushauri tafuta vibarua ufanye, kodi ikiisha hapo ndo utajua kilichomnyima kuku kukojoa 😅👍🏾
 
Napitia kipindi kigumu sana naipenda familia yangu mm siyo mtu wa michepuko nikiwa na familia yangu najitahidi kupata uhamisho lkn inashindikana
Pole aiseeh,wewe uko kama mimi kwenye kukwama uhamisho,nimepambana hadi nimejikatia tamaa,imebid nirud shule tu,maisha haya,only God knows 🙏
 
Naona hujaelewa mada na umedakia kutuletea story za maisha yako binafsi na unachokipitia.

Kwanza hilo geto ulipangaje bwamdogo?! Sasa kama huna chochote ni geto au ni hall hilo?! 🤔

Nakushauri tafuta vibarua ufanye, kodi ikiisha hapo ndo utajua kilichomnyima kuku kukojoa 😅👍🏾
🤣🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom