Huu wimbo unanifanya mpaka nitamani kuingia mapenzini

Huu wimbo unanifanya mpaka nitamani kuingia mapenzini

Chakorii

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
18,785
Reaction score
51,532
Hamjambo humu ndani😉nimewamiss haki tena.

Bhana sijui ndio nataman kuwa kwenye mapenzi ama laa🫣🫣maana huu wimbo tangu saa sita mchana mpka sasa ninaupiga na sijafikiria kuuchoka.

Huu wimbo Unanifanya mpkaa nitamani kuingia mapenzini hakyanani tena❤️‍🔥

Nina mpango wa kuupiga huu wimbo usiku mzima wa leo.

38CE6215-9E0B-4482-A4E4-7CF70661E751.png
Drop ngoma yako ulisiyoichoka kuisikiliza na utuambie ni kwa nini unaipenda🤸‍♀️🤸‍♀️

Ila Rama Dee anasauti ya mahaba aisee🥰🥰kama ana mafua hivi 😁kama hataki kuimba,basi tu ili mradi alete usumbufu tu🫣🫣
 
Hamjambo humu ndani[emoji6]nimewamiss haki tena.

Bhana sijui ndio nataman kuwa kwenye mapenzi ama laa🫣🫣maana huu wimbo tangu saa sita mchana mpka sasa ninaupiga na sijafikiria kuuchoka.

Huu wimbo Unanifanya mpka nitamani kuingia mapenzini hakyanani tena[emoji3590]‍[emoji91]

Ninampango wa kuupiga huu wimbo usiku mzima wa leo.
View attachment 2583662

Drop ngoma yako ulisiyoichoka kuisikiliza na utuambie ni kwa nini unaipenda[emoji2222][emoji2222]
Vp kwanza jimbo liko wazi?. Nipo hapa nasikiliza "Mguu wa kutoka" by Nyandu tozzy
 
Dah! Siipatii picha hiyo ngoma itakua tamu kiasi Gani....jina la wimbo tuu....na mwamba aliepewa collabo! ...mnyaamaa wa hayo mangoma ya mapenziii....mwenye sauti ya kipekee Rama Deee....

Hii ni kama ngoma yao ya 3 pamoja ya mapenzi kama sikosei hivi...

Nahisi kuna kitu kinaendelea baina yao!...
 
....
Hamjambo humu ndani😉nimewamiss haki tena.

Bhana sijui ndio nataman kuwa kwenye mapenzi ama laa🫣🫣maana huu wimbo tangu saa sita mchana mpka sasa ninaupiga na sijafikiria kuuchoka.

Huu wimbo Unanifanya mpka nitamani kuingia mapenzini hakyanani tena❤️‍🔥

Ninampango wa kuupiga huu wimbo usiku mzima wa leo.
View attachment 2583662

Drop ngoma yako ulisiyoichoka kuisikiliza na utuambie ni kwa nini unaipenda🤸‍♀️🤸‍♀️

........naendelea kuusikiliza kwa makini then ntakuja kukudokeza jambo......ila nafikiri kuna namna wimbo huu umemaanisha jambo fulani kwako, maana si kwa furaha hiyo uliyonayo.......
.........nb rama Dee na dogo Dito ni wasanii bora WA RnB ambao wako underrated sana.......
 
Back
Top Bottom