Siku km ya leo ktk historia

Muuza Viat

JF-Expert Member
Dec 23, 2022
2,824
7,349
Kabint niliwah kukatongoza kakanikataaa

Baada ya miez kadhaa siku km ya leo nikakuta missed call yake kwenye kimeo changu

Nikaenda kwenye simu ya kijiji ili nimrukie hewan

Tunaiita sim ya kijij kwa sabab kipind hicho tigo kifurush unajiunga saa kumi alfajir alaf kinakua hakina ukomo wa muda wa maongez Kwa hiyo tuliiteua simu moja ambayo tunachanga ili kujiunga alaf kila atakayetaka kufanya maongez unapiga kwa stail ya conference call so ukiongea na mtu wako kunakua na kelele balaa unakuta kuna watu km ishirin wanapiga porojo kwenye simu moja

Baada ya maongez nae tukakubaliana tukutane mbagala zakiem uwanjan

Wakat huo nilikua na elf tat mfukon na kwenye kibubu kulikua na elf kum ambayo ndio akiba yangu mwenyew ili kutokana na unyeti wa jambo husika nikaona haina jinsi inabid itumike tu

Ahad ilikua kumi jion lkn kutokana na umuhimu wa tukio husika saa tisa juu ya alama Mzee nilikua nipo eneo la kukutania

Baada ya kufika nikaanza kudodosa wap kuna gest ya bei rahis washukuriwe washkaj wa pale niliipata ya buku mbili tu shoo taim nikaona inanifaa nikajitahid kukarir njia isije ikanipotea

Mpaka kumi na mbili mrembo hajafika Mzee mzima nikavurugwa nikalazimika kununua vocha ya mia tano ili nifanye mawasiliano baada ya kumuuliza nikajibiwa niendelee kusubir

Saa moja kasoro mrembo akafika wakat huo nimebakiwa na kumi na moja elf na kutokana na bajet yangu nilipanga nisimpe nafas ya yey kuchagua anachotaka kwa hiyo alipofika tu nikamtuliza na chupa la maji ya barid apoze koo kabla hajamaliza kuyanywa nikamshika mkono na kuelekea kwenye kichaka nilichokiandaa kwa ajili ya zoez pendwa

Ghafla umeme ukakatika nikaona yes huu ndio muda wa kutawala zoez zima kiweled Mzee mzima mibusu km yote kwa mrembo njia nzima Mtoto wa watu anacheka tu

Kuja kushtuka nimepotea njia msala ukaanza hapo ilinigharimu km dk10 kuipata ile gest wakat huo bibie Domo kalivuta hatar

Namwambia tuingie ndan ananiuliza inamaana ww gest zote za maana hujaziona unanileta humu

Mzee mzima nikaongea mfululizo km dk tano lkn jibu alilonipa likanivuruga balaa aliniambia "ndio maana nilikukataa kwa mamb yako na leo nimekupa nafas bado unanivuruga"

Akaondoka zake huku namfata nyuma mpaka zakiem uwanjan akapanda kwenye Bajaj na mim nikapanda mpaka majimatitu nikalipia elf Tano nikabakiwa na elf sita akanipeleka kwenye lodge balaa Mzee mzima nikawa mnyonge mungu hapendi

Km zari sikuulizwa kuhusu kulipia tukaingia zetu ndani na nikaambiwa humu hatutok mpaka jnne nikawa mnyonge na elf sita yangu mfukon

Jnne wakat tunajiandaa kutoka ndio nikaambiwa ukwel kuwa mim sio chaguo lake isipokuwa alivurugwa na huyo mpenzi wake na alinitumia mim km sehem ya kubadilisha mazingira ili ajiweke sawa

Na akanishaur ikitokea tumekutana tena niachane na porojo za kupendana isipokuwa nimchukulie km adui yake nitwange kikwelkwel km hamna kesho

Akaingia kwenye wallet na kutoa 30k na kuondoka zake

Kutokana na posho anazotoa nikaona sio mbaya kuwa mchepuko ingawaje sipat huduma kila ninapohitaj
 
Sawa
20220327_120811.jpg
 
Mkuu Muuza Viat umenikumbusha ile kusoteshwa na demu mahali halafu hatokei kabisa eneo la tukio, five hours later baada ya we kusepa unalala huku ukiendelea kujifariji kuwa huenda atakupigia, ukiona sms au call unahisi ni yeye lakini wapi. Unala umefura kwa hasira unajisemea kuanzia leo mi na yeye basi. Halafu kesho yake anakubip na wewe bila ajizi unapiga halafu unaomba tena muonane as if Jana hukurushwa.
 
Ha ha ha

Nilishawah nunulishwa chips kuku yai na mirinda nyeus ya bardiiiiiii

Baada ya kufika kwenye geto la mhusika nikiwa na mfuko wangu wa kiepe piga simu km mara mia simu haipokelew na dirishan taa inawaka huku pazia limeshushwa na mziki kwa mbaaal nausikia

Kwenda kugonga mlangon nikahofu kufumania

Nikaona isiwe tabu nikaondoka zangu nikiwa na majazba km yote

Na siku ya pili yake nikalaumiwa mim kwa kushindwa kutimiza ahad
 
Kama nakuona ulivyokuwa unam-'please', na kuomba appointment tena, as if umekosea wakati yeye ndo alipaswa ku- 'apologise'.
 
Back
Top Bottom