Person of Interest:....... is back

Person of Interest:....... is back

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
17,572
Reaction score
27,391
Kwa wale wa Originality, Different, and Creativity, with a bit of one liners and humorous dialogues ; A Case every Episode while looking at a bigger picture...

One of the Best Series at the Moment imerudi kwa Season ya Nne..., kwa wale mliohifadhi popcorn zenu ni muda wa kuzichukua na kuendelea kuburudika..

images
images
 
Am I the only one who loves this series, or am the only one who knows about it and gets it.. ?, well kulingana na uzuri wake nadhani itakuwa the latter sababu this is the work of art..

Anyway jana episode 3 season 4 imetoka... "Wingman"
 
That was 2014 now is 2023 to date in my Humble Opinion this is one of the Best; Kudos kwa Jonathan Nolan - (Creator); na J. J. Abraham Executive Producer
 
That was 2014 now is 2023 to date in my Humble Opinion this is one of the Best; Kudos kwa Jonathan Nolan - (Creator); na J. J. Abraham Executive Producer
Kaka hii inahusu nini hebu nope picha kidogo sema nimeona huyo mwamba j j Abraham
 
Kaka hii inahusu nini hebu nope picha kidogo sema nimeona huyo mwamba j j Abraham
Kwanza kabisa uzuri wa hii series kila episode kuna case of the day, kwahio hata ukiangalia episode moja kuna kitu unapata wakati story ya bigger picture inaendelea...

Story imebase kwenye premise kwamba baada ya September the 11 Serikali ya Marekani iliamua kutengeneza Machine ambayo itakuwa connected kwenye kila Camera, CCTV, kwenye kila device inayosikiliza n.k., kwa kupata information hio mashine inaweza kupata watu relevant ambao kutokana na matendo yao kwa sasa yanaweza kuashiri ugaidi (hivyo watu wanatumwa kwenda kuwa-terminate) sasa pamoja na hizo relevant numbers kuna non relevant za kawaida ambao mashine ilikuwa inazitoa lakini serikali haina habari nazo hence inaachana nazo....






Sasa story ni kwamba aliyetengeneza hii software aliweka backdoor kwenye hii software ya kuweza kuingia kama mashine hii ikitumiwa ndivyo sivyo aweze kuizima..., ila baada ya kuona watu wanakufa au kupata matatizo ambayo angeweza kuwasaidia (non relevant people) aliamua kuanza kuwasaidia..., ikitokea namba ya mtu (NIDA NAMBA YAKE) ni kwamba kuna jambo mashine imeona hivyo ni kazi ya Jamaa kuweza kucheki huyo mtu kama ni muhalifu au kuna janga linaweza kumfika hivyo kumuokoa....

 


"Chess is just a game and real people aren't pieces. You can't assign more value to some of them than to others. Not to me, not to anyone. People are not a thing you can sacrifice. The lesson is that anyone who looks on the world as if it was a game of chess deserves to lose."
 
Back
Top Bottom