Tamasha la Mtoko wa Pasaka Aprili 9, 2023

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
741
479
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amewasili Mlimani City Jijini Dar es Salaam, tayari kwa ajili ya Tamasha la Mtoko wa Pasaka Aprili 9, 2023 linalowakutanisha Wanamuziki wa nyimbo za Injili Christina Shusho na Rose Muhando.

20230409_222449.jpg
 
Back
Top Bottom