Kitimtim comedy imulikwe

Kitimtim comedy imulikwe

Mama Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2007
Posts
2,976
Reaction score
2,173
Natoa rai kwa mamlaka husika (Wizara ya utamaduni na michezo, Baraza la ssna ka taifa, TCRA etc) kufuatilia kwa umakini maudhui ya Kitimtim comedy inayoneshwa kwenye chanel 160 DSTV/Multichoice.

Wameanza kuongelea mambo ya kufanya ngono kwa uwazi hadi inatia aibu mzazi kuangalia skiwa na watoto au wajukuu wake. Kipindi cha jana tarehe 15/05, kuna episode wahusika wawili wanaagizwa waingie ndani wapeane haki yao ya ndoa. Mara mhusika mmoja anasema hajatahiriwa, mara wasanii wengine huku nje wanashabikia walioko ndani wafanye ngono haraka.

Haya yote yanafanyika wakati Wizara ipo, Baraza la Sanaa lipo, na TCRA wapo.Very sarcastic and un professional.
 
Halafu unakuta kuna wapuuzi weengi wa kujiita wahariri na uchafu mwingine kwenye kazi hiyo tena inarushwa kwenye luninga
 
Natoa rai kwa mamlaka husika (Wizara ya utamaduni na michezo, Baraza la ssna ka taifa, TCRA etc) kufuatilia kwa umakini maudhui ya Kitimtim comedy inayoneshwa kwenye chanel 160 DSTV/Multichoice.

Wameanza kuongelea mambo ya kufanya ngono kwa uwazi hadi inatia aibu mzazi kuangalia skiwa na watoto au wajukuu wake. Kipindi cha jana tarehe 15/05, kuna episode wahusika wawili wanaagizwa waingie ndani wapeane haki yao ya ndoa. Mara mhusika mmoja anasema hajatahiriwa, mara wasanii wengine huku nje wanashabikia walioko ndani wafanye ngono haraka.

Haya yote yanafanyika wakati Wizara ipo, Baraza la Sanaa lipo, na TCRA wapo.Very sarcastic and un professional.
Hii inaoneshwa muda gani?
 
Jana ni tarehe 15 Mei 2023, na leo ni tarehe 16 Mei 2023. Kipindi kile mara nyingi hurushwa usiku, na malalamiko yako umeyatoa saa moja nadakika 28 asubuhi hii...!!! Yaani utadhani wiki au mwezi umepita na wahusika wamefumbia macho..!! Hata kama hatuwapendi, tutoe maoni na muda wa kuyafanyia kazi basi..!! We asubuhi hii hata ofisini hawajafika inawezekanaje wawe wameshapitia maudhui ya kila kipindi halafu wawe wameshatoa maamuzi..!!??? Lawama zingine siyo realistic kabisaaa..!!
 
Hiki kipindi nilikua namashaka nacho tokea kitambo kidogo.... Kunawakati wife alikuwa akiipenda sana kitimtim na watoto nao nikaanza kuwasikia story za masantula sijui Huba,, nikasema ngoja niitafute siku nione na Mimi... mambo niliyoyaona ni aibu sana mbele ya familia. Palepale nikapiga mkwala mzito mama na watoto yaani wote walikuwa watoto kuwa Sitaki kuona ujinga huu wa Huba na kitimtim. Baadaye wakawa wanaangalia marudio nikiwa sipo. Nikaona isiwe shida nikang'oa DStv nikafunga dish la CANAL channel za ndani ni mwendo wa ZUKU..

HALF DICTATOR AND HALF DEMOCRAT
 
We acha tu kilichonikuta jana nilikua na Mama na dogo mmoja, nilinyanyuka nikaenda tu chumbani,

Na kuna ile scene askari wa kiume amemfunga pingu Pili halafu wanavutana vutana yaan askari wa kiume anamshika maungoni na kumpapasa juu mtuhumiwa wa kike ilikua kichefu chefu kuangalia, nikasema mbona wanadhalilisha jeshi la polisi? Sijakaa sawa ndio yule mshenzi anaomba ngono kwa mke wake na wengine kusema waingie ndani wamalizane!
 
Hivi unapata wapi muda wa kuangalia huo upuuzi?
Kila mmoja ana jambo ambalo kwake ni la maana lakini kwa mwingine ni upuuzi..!! Hivyo, si kila la maana kwako, basi lipo hivyo kwa mwingine..!! Wote mnaweza mkaliona kuwa ni la maana au mkatofautiana
 
Sasa Dr. Mariposa, saa tatu usiku ya jana, hadi saa moja na dakika ishirini na nane asubuhi ya leo, kweli Mama Mdogo anaweza walau wizara, Baraza la Sanaa na TCRA kwamba hawajafanya lolote..!!?? Wangefanyia kazi muda gani..!!??
Ngalikihinja, nadhani mada kuu ni huo mchezo wa kuigiza kuweka maudhui ya ngono na kudhalilisha jeshi la polisi, mtoa mada ameitaka mamlaka husika imulike hicho kipindi mwanzo kabisa wa mada yake,

Hapa sote tusubiri hiyo mamlaka husika iangalie kama kipindi kipo sahihi sawa na kama hakipo sahihi basi warekebishe isijitokeze tena maana binafsi jana walinitia aibu mbele ya Mama angu mzazi.
 
Kila mmoja ana jambo ambalo kwake ni la maana lakini kwa mwingine ni upuuzi..!! Hivyo, si kila la maana kwako, basi lipo hivyo kwa mwingine..!! Wote mnaweza mkaliona kuwa ni la maana au mkatofautiana
Hao ndio wale walisema hawaangalii TBC halafu kwenye kombe la Dunia wakawa wanailalamikia TBC kutokuonesha baadhi ya mechi,
 
Natoa rai kwa mamlaka husika (Wizara ya utamaduni na michezo, Baraza la ssna ka taifa, TCRA etc) kufuatilia kwa umakini maudhui ya Kitimtim comedy inayoneshwa kwenye chanel 160 DSTV/Multichoice.

Wameanza kuongelea mambo ya kufanya ngono kwa uwazi hadi inatia aibu mzazi kuangalia skiwa na watoto au wajukuu wake. Kipindi cha jana tarehe 15/05, kuna episode wahusika wawili wanaagizwa waingie ndani wapeane haki yao ya ndoa. Mara mhusika mmoja anasema hajatahiriwa, mara wasanii wengine huku nje wanashabikia walioko ndani wafanye ngono haraka.

Haya yote yanafanyika wakati Wizara ipo, Baraza la Sanaa lipo, na TCRA wapo.Very sarcastic and un professional.
Jamii yetu imeoza na kuharibika kabisa. Mimi scene yoyote inayohusiana na mapenzi hata kama ni kusogeleana na kukumbatiana huwa siwezi kuangalia nikiwa na mama yangu. Lakini kuna huyu kijana tena mtu mzima kabisa ana kama miaka 27 alinishangaza sana. Anasema yeye hata kama wanakulana denda haoni shida kuangalia akiwa na mama yake na dada zake. Ndio siku niliamini binadamu wote si sawa
 
Ngalikihinja, nadhani mada kuu ni huo mchezo wa kuigiza kuweka maudhui ya ngono na kudhalilisha jeshi la polisi, mtoa mada ameitaka mamlaka husika imulike hicho kipindi mwanzo kabisa wa mada yake,

Hapa sote tusubiri hiyo mamlaka husika iangalie kama kipindi kipo sahihi sawa na kama hakipo sahihi basi warekebishe isijitokeze tena maana binafsi jana walinitia aibu mbele ya Mama angu mzazi.
Hapa nakubaliana na wewe kwamba maudhui ya jana haikuwa sawasawa kwa mujibu wa tamaduni na maadili yetu. Mamlaka husika zipewe muda wa kufuatilia jambo hilo halafu zitoke na jawabu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom