Hiki Kipindi cha Michezo Cha EFM (Sport Hq) Ipo siku Watakunjana...

Rajab Endless

Senior Member
Oct 2, 2019
121
167
Mi nimfataliaji mzuri wa vipindi vya michezo kwa vituo vya redio hapa nyumbani, mara nyingi huwa nafatlia Sports Arena ya Wasafi Fm, Sports Hq ya Efm na mara moja moja kipindi cha michezo cha RFA.

Katika vipindi vyote hivyo naona kipindi cha EFM Sports Hq Wachambuzi pamoja na Host wa kipindi hicho wamekua wakivutana sana kuhusu mijadala wanayoweka mezani hasa inayohusisha vilabu vyetu viwili vikubwa hapa nchini...

Wachambuzi na Ma-host wa kipindi wamekua wakitawalia na hisia za mapenzi kwa vilabu vyao pindi wanapokua wakichambua au kuuliza maswali kuhusu vilabu hivyo...

Ni Mimi tu ndio naona hivi au kuna wengine mnaona kama nionavyo mie...?
 
Ni magenge ya wahuni tu waliopata ajira kwenye radio station zinazomilikiwa na wahuni wenzao.

Mchambuzi Tanzania ni mmoja tu Dr Rick na kulikuwa na Mwalimu Kashasha, waliobaki ni kikundi cha wahuni tu waliokosa ajira kwenye skills nyingine.
 
Tatizo ni pesa za GSM alizomwaga kwa baadhi yao wengine walikosa na ndio chanzo, na watakunjana kweli ipo siku
 
Mbona wako vizuri tu,ila wanazingua matangazo yanachuka MDA mrefu mpaka msikilizaji unaboreka.

I'll wako pouwa Sana.
 
Mi nimfataliaji mzuri wa vipindi vya michezo kwa vituo vya redio hapa nyumbani, mara nyingi huwa nafatlia Sports Arena ya Wasafi Fm, Sports Hq ya Efm na mara moja moja kipindi cha michezo cha RFA.

Katika vipindi vyote hivyo naona kipindi cha EFM Sports Hq Wachambuzi pamoja na Host wa kipindi hicho wamekua wakivutana sana kuhusu mijadala wanayoweka mezani hasa inayohusisha vilabu vyetu viwili vikubwa hapa nchini...

Wachambuzi na Ma-host wa kipindi wamekua wakitawalia na hisia za mapenzi kwa vilabu vyao pindi wanapokua wakichambua au kuuliza maswali kuhusu vilabu hivyo...

Ni Mimi tu ndio naona hivi au kuna wengine mnaona kama nionavyo mie...?
Akitolewa MCHAWI jemedari said....kipindi kitakuwa namba WANI hapa Tanzania.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Ni magenge ya wahuni tu waliopata ajira kwenye radio station zinazomilikiwa na wahuni wenzao.

Mchambuzi Tanzania ni mmoja tu Dr Rick na kulikuwa na Mwalimu Kashasha, waliobaki ni kikundi cha wahuni tu waliokosa ajira kwenye skills nyingine.
Na wewe una Phd Bongo mamama.e
 
Back
Top Bottom