Mashabiki wa Sauti Sol tukutane hapa

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Wale wenzangu na mie tunaochungulia Kenya kwenye tasnia ya muziki, hasahasa muziki wa hawa malijendari Sauti Sol tukutane hapa:

(a) Tujuzane the best song of each one humu jf. Kwa kuanzia napenda wimbo wa "Feel My Love". Huwa nikiusikia najihisi blessed walah

(b) Tupeane updates za nyimbo zao mpya na kwa namna gani zimetugusa kumoyo ikiwemo kusimuliana behind the scene pamoja na exclusives zao kwenye muziki

Kwa kuanzia, ni wimbo upi kutoka Sauti Sol unaukubali sana na kwanini?
 
Naupenda Ready ft Mortier
Kuhusu updates kila mmoja Kwa sasa anatoa as solo artist, Savara ana Wimbo unaitwa Reggae ya kinyozi, Bien anazo nyingi sana,
 
Suzana

Nakuona Paris
Hapo kando ya champs-élysées
Ukitesa na kamini yeah, ye-yeah, yeah, yeah
None of my business
And I see you in London
Silicon on your bum bum
Shaking what your doctor gave you
On your worst behavior, Suzanna bhane

Senje halo, halo, halo (halo, halo, halo)
If you get to hear this song
Somebody loves you
(Suzanna bhane)
Senje halo, halo, halo (halo, halo, halo)
Change your mind and come back home
Somebody loves you
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom