hii muvi ni ya kihistoria nchini.
unajua muvi ya girlfriend waloigiza yvone cherry monalisa na t i d inavumishwa ndo ilileta mapinduzi ya filamu, ila kiuhalisia mapinfuzi hasa yaliletwa na nsyuka
nsyuka nakumbuka ndo ilikuwa filamu ya kwanza kuwa na matangazo katika tivi, ilitangazwa sana, kuwa tununue filamu ya kwanza ya kitanzania ya kutisha na hapo mtindo ndo ukaigwa na filamu zilofuatia kama vile,
kaburi la safia, safari, nsyuka part two, johari, na nyenginezo kama vile, muvi za kanumba.
nsyuka ndo walianzisha kuwa na tivi commercials, na waliuza sana
ila ajabu hiyo golden age ya bongo movie ikapita fasta na ghagla leo hii wasanii wa taanzania hawatangazi muvi zao ka zamani, muvi zao sikuhizi ka haupo instagram unakuwa huna taarifa ka kuna muvo mpya inatoka.