Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Dennis Rodman 'got drunk, vomited and defecated all over a North Korean hotel' PUBLISHED: 12:24 EST, 10 February 2014 Rodman was practically forced out of the hermit kingdom for...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
From TMZ to entertainment news na Vanity fair and Losangeles times . Unaambiwa Brad Pitt hawezi kujizuia na mtoto wa kikenya Lupita . Angelina ameshaanza kulia na anawasiwasi Brad atamuacha...
1 Reactions
42 Replies
8K Views
Ni project aliyoipanga siku nyingi kuandaa tshirts na kofia maalumu kwa mashabiki zake. Ilikuwa zitoke mwishoni mwa mwaka 2013 lakini Diamond ni mtu asiyependa kuharakisha mambo, na anapenda...
0 Reactions
67 Replies
17K Views
His name is as expensive as he is, and this is where he came from, started from the bottom now we are....
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Mwanamke mwenye historia ya kuhuzunisha, mvumilivu, unajituma. Acha tu ufanikiwe SHILOLE! ila punguza scandal I LOVE U
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kiufupi ujio wako kwenye sanaa ya mziki ulikuwa mzuri sana' na nachelea kusema hata mashabiki walikupokea vizuri pia! Ila sijui shetani gani alikupitia' au sijui ukajiona kwamba umekua na mziki...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
habarini wanajamvi,eti kati ya backstreet boys na westlife ni kundi lipi lenye best rnb songs na pia lipi ndo boyband bora?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
STAA wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameamua kuachia picha adimu akiwa kitandani na kanga moja tu bila chochote kama ishara ya kuwashukuru mashabiki wake kwa...
0 Reactions
38 Replies
28K Views
A man who is obsessed with pop brat Justin Bieber spent a staggering £60,000 on surgery in an effort to look like hie hero. And Toby Sheldon, who has spent the past five years having surgery to...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mwigizaji wa Comedy (Futuhi) Anajulikana kwa Jina la kingwendu Amweka wazi Nia yake ya kuwania Ubunge katika kinyanganyiro cha 2015, Amesema kwa sasa Amejipanga vya kutosha kuingia mjengoni ...
0 Reactions
41 Replies
12K Views
WEMA, AUNT, KAJALA: AIBU YAO! Stori: Imelda Mtema, Arusha Jambo limezua jambo! Mastaa ‘hot' Bongo wanaotingisha kwenye tasnia ya sinema, Kajala Masanja, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Ule uvumi uliozagaa kuwa Diamond Platinumz ana kitu kipya ulikuwa ni wimbi la uvumi usiojulikana chanzo chake. Platinumz katika picha yake latest ya Instagram imewaonyesha wawili hao wakipiga...
0 Reactions
35 Replies
11K Views
Nam-like this lady, classy,sexy and definetely beautiful! Madam Original, Wishing her miaka mingi mingi!
0 Reactions
28 Replies
11K Views
Dah nilikuwa natafuta sana jina la huyu mwanamuziki wa Kenya, kuna nyimbo yake moja inaitwa Nekai_nairobi ya kitambo hicho kidogo, uwa naikubali sana..
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Tarehe 31/1/2014 jarida maarufu duniani kwa takwimu, Forbes lilitoa list ya "10 Most Powerful Men in Africa 2014". Kati ya hao 10 wawili ni viongozi wa kitanzania January Makamba na Mohammed...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
SHAROBARO AFUMWA NA MKE WA MTU NDANI YA GARI BOVU Na Waandishi Wetu SHABASHIII! Arobaini (40) za mke wa mtu zimetimia baada ya...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Washington (AFP) - As if Barack Obama didn't have enough problems to deal with already, his administration now is being asked to weigh in on the grave matter of Justin Bieber's bad behavior. By...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Huyu ndo mpenzi,wa Agness Masogange.. Nahisi ndo maana anaongezeka makalio kila kukicha maana Hawa jamaa..
0 Reactions
37 Replies
11K Views
MIEZI tisa baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar kumhukumu staa wa filambu za Bongo, Kajala Masanja kifungo cha miaka mitatu jela au faini ya shilingi milioni 13 kwa kosa la...
2 Reactions
23 Replies
6K Views
Blue Ivy spotted backstage at the Grammys. So cute
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom