zilikuja zikaenda !!zilipendwaSio siri jamaa kimuziki alikuwa yuko vizuri sana kipindi fulani. Ngoma zake kama Zeze bado nazisikiliza na kuzikubali. Kipindi cha karibuni amekuwa kimya, hivi bado ana-perfom na bendi yake?
Madawa Noma. Naskia Jamaa anaweza kuzima hata siku nne.