Mkoloni;ANT VIRUS MOVENT IKO PALE PALE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkoloni;ANT VIRUS MOVENT IKO PALE PALE

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Fraddle b, Feb 21, 2012.

 1. F

  Fraddle b JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmoja kati ya vinega wa ant virus MKOLONI amesema movement ya vinega iko palepale na sugu ndani waliyopatana leo ni ile dili ya MALARIA tu na cyo MOVEMENT YA MUZIKI na WANYONYAJI
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Sasa mbona hawaeleweki si wamesema wameseto daun issue zote? Mkoloni(Freddy maliki) angalia bwana usije gombana na sugu ukaukosa uenyekiti wa mb,fuata sugu alivyoingia mkataba na ruge.
   
 3. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  wameanza kujichanganya sasa !
  Ruge ni jeuri alijua tu jinsi atakavyowamaliza c wao walimshndwa.
   
 4. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  nazisubili na ahadi zao walizosema watamuamisha mjini ruge.
   
 5. F

  Fraddle b JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkoloni amesema hata sugu bado yupo sema wame solve ishu ya malaria tu so mambo mengine vilevile
   
 6. F

  Fraddle b JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapana kasema ishu waliyo solve ni ya ishu ya MALARIA so movement ya mziki na vinega palepale
   
 7. Mabwepande

  Mabwepande JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sana tuuuu!!
   
 8. F

  Fraddle b JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa hyo una suport movement
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Joseph Mbilinyi
  TAARIFA:KWANZA POLENI NA SAMAHANINI
  KWA HALI YA SINTOFAHAMU ILIYOTOKEA
  LEO KUTOKANA NA TAARIFA ZA GHAFLA
  ZA USULUHISHI KATI YETU NA RUGE/
  CLOUDS FM,NI KUTOKANA NA UNYETI WA
  ISSUE YENYEWE ILIBIDI TUFANYE HIVYO
  KWA NIA NJEMA KABISA...KWANZA
  NAOMBA TUJIPONGEZE KWA KUWA TUKIO
  LA LEO NI USHINDI KWA VINEGA KWA
  MAANA KWAMBA MADAI YETU YOTE YA
  MSINGI NDIO YALIKUWA MSINGI WA
  MAJADILIANO NA RUGE AMEKUBALI
  KUYATEKELEZA YOTE...KUANZIA SUALA LA
  STUDIO YA RAIS KURUDISHWA KWA
  BASATA ILI IWE YA WASANII WOTE,PIA
  T.F.U IJIKABIDHI KWA CHAMA HALALI CHA
  WASANII YAANI T.U.M.A KAMA AMBAVYO
  TULIKUWA TUNADAI NA MPAKA ISSUE ZA
  WASANII KUNYANYASWA NA KUBANIWA NA
  PIA SUALA LA MALIPO HAFIFU VYOTE
  VIMEJADILIWA NA KUKUBALIWA KWA
  UTEKELEZAJI...HAIKUWA KAZI
  RAHISI,KWANZA ILIANZA KWA WAO
  KUMPIGIA MWENYEKITI WANGU MBOWE
  KUTAKA TUKAE CHINI,AMBAPO KAMANDA
  MBOWE ALINISHAURI TUKAE NAO CHINI
  KAMA KWELI WANA NIA YA
  KUYAMALIZA...BAADAYE WAKAMPIGIA MR
  SHIGONGO AMBAYE NI WAZI KUWA NI KATI
  YA WATU WANGU WA KARIBU NAYE
  BAADA YA KUONGEA NA MR. KUSAGA TU
  ALINIPIGIA NA KUNISHAURI HIVYO
  HIVYO...NA KAMA HAIKUTOSHA
  WAKALIFIKISHA HILI SUALA KWENYE
  KAMATI YA BUNGE AMBAYO ILINITAKA
  NIIPE MAELEZO YA KIINI CHA MGOGORO
  NA NIKAFANYA HIVYO AMBAPO PIA BAADA
  YA KUNIELEWA WAKASHAURI NIKAE NAO
  CHINI...NA HATIMAYE SUALA HILI LIKAISHIA
  MIKONONI MWA WAZIRI NCHIMBI PAMOJA
  NA MHE. TUNDU LISSU(MP) KUWA
  WAPATANISHI WETU...WAZIRI NCHIMBI
  AKAANZA KWA KUMUITA RUGE DODOMA
  NA ALIKUJA TUKAKAA KWA HATUA YA
  KWANZA NA HATIMAYE LEO TUKAKAA
  TENA MAKAO MAKUU YA WIZARA YA
  UTAMADUNI CHINI YA DR NCHIMBI NA MHE
  TUNDU LISSU NA HATIMAYE TUKAFIKIA
  HATUA HII YA LEO...VITA YETU ILIKUWA NA
  HOJA HATUKUWA TUNAPIGANA TU KWA
  CHUKI BINAFSI KAMA BAADHI YA WATU
  WALIVYOKUWA WANAJARIBU
  KUIWEKA,KWAHIYO KAMA HOJA ZETU
  ZIMEELEWEKA KWA SASA TUNATAKIWA
  KUSHUKURU NA KUFURAHIA...LAKINI
  NAOMBA NIWAHAKIKISHIE MISIMAMO IKO
  PALE PALE NA NIMEWAWEKA WAZI KUWA
  ANTI-VIRUS ITAENDELEA KUWEPO ILI
  KUENDELEA KU-SCAN VIRUS WENGINE
  KAMA MAMENEJA MASOKO NA WENGINE
  WATAKAOJITOKEZA KWANI NCHI
  INAPOSHINDA VITA AU HATA KUFIKIA TU
  MAKUBALIANO YA AMANI NA NCHI ADUI
  YAKE HAINA MAANA NCHI HIYO INAVUNJA
  JESHI LAKE...
  ASANTENI SANA...


  Fraddle malaria ipi hapo waliyoisolve?
   
 10. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  VINEGA hawapo kwa ajili ya MALARIA bali wapo kwa ajili ya halakati dhidi ya unyonyaji kwenye mziki. ishu ya malaria Inamhusu Ruge na SUGU sio Vinega na ruge. sema watu wanafikili ni ishu ya vinega kwa sababu SUGU ni Kinega.
   
 11. F

  Fraddle b JF-Expert Member

  #11
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hi ni kweli kabisa kama isue ya malaria imeisha bas imebak issue ya harakat za muzik. Over
   
 12. F

  Fraddle b JF-Expert Member

  #12
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh! Aisee fredick mkoloni cjui kamaanisha nn? Kusema issue ya malaria ndo wamesolve kumbe wamesolve ishu zote kwa ujumla so haina haja ya kudai movement inaendelea
   
 13. N

  Ndekwakwise Member

  #13
  Feb 22, 2012
  Joined: Mar 22, 2010
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wendawazimu hawa.
   
 14. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #14
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  ni kwmaba ant virusi itaendelea kuscan
   
 15. F

  Fraddle b JF-Expert Member

  #15
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa hyo mapambano yanaendelea?
   
 16. F

  Fraddle b JF-Expert Member

  #16
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ki vp? Kaka
   
 17. Deo Corleone

  Deo Corleone JF-Expert Member

  #17
  Mar 14, 2014
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 14,666
  Likes Received: 2,530
  Trophy Points: 280
  Ant virus imefika mwisho
   
 18. Mtamile

  Mtamile JF-Expert Member

  #18
  Mar 14, 2014
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 2,800
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mkuu kiini cha hii bifu kilikuwa ni lile dili la Maralia haya mengine yalikuwa ni danganya toto tu na kama kweli Sugu alisovu issue ya Maralia :basi mgogoro umeshaisha hawa akina Mkoloni watakuwa wanaoigana na upepo ndo maana Mapacha wamejisalimisha mapemaa
   
 19. U

  Ududu JF-Expert Member

  #19
  Mar 15, 2014
  Joined: Aug 16, 2013
  Messages: 968
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  Naona damu ya usaliti tu hapa!Sugu kawaangusha wenzake na Ruge katumia akili nyingi sana katika hili.Rudini shule sasa..
   
Loading...